Kadinali mweusi abaguliwa waziwazi

Kadinali mweusi abaguliwa waziwazi

unawatetea walawiti wa watoto wadogo?
Watakuja kupovuka hapa wafia dini kindakindaki.
Screenshot_2023-04-25-00-20-36-13_73617a28b0d3e7e6a04848a88f233e6b.jpg

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
KADINALI MWEUSI ABAGULIWA WAZI WAZI

View attachment 2773929
Unajua haya mambo ya Wa Afrika kudandia dini za wazungu huwa yananikera Sana Sana, sisi WaAfrika tumepoteza identify yetu kwa kukimbilia mila,desturi na taratibu za wazungu na kukanyaga, kuzikana na kuzidharua Mila na desturi zetu.

Kwani Kabla ya wazungu na waarabu kuja sisi WaAfrika tulikuwa hatuabudu ? Ukweli ni kwamba tulikuwa tunaahudu na Mungu alitusikia, kila hitaji letu tulilipata kwa utaratibu wa ibada zetu.

Ujio wa wazungu na waarabu umeua Mila zetu, ni ujinga kuamini kuwa Sala zao ndio za kweli na Sala zetu ni matambiko😔 ukienda Japan, china etc walikataa ujanja wa wazungu , wamebaki na Mila zao za ibada.

Laana ya kuacha Mila zetu itatugharimu Afrika, mabalaa yote ya Africa ni juu ya laana ya kukataa Mila zetu na kufata Mila za wazungu na waarabu. Ona Sasa hii aibu ya Kadinali mwafrika kubaguliwa waziwazi 😭
Hapo hakuna ubaguzi! Katika salamu kuna mtu unaweza kumsalimia kwa kumkumbatia na mwingine kwa kumshika mkono!
 
KADINALI MWEUSI ABAGULIWA WAZI WAZI

View attachment 2773929
Unajua haya mambo ya Wa Afrika kudandia dini za wazungu huwa yananikera Sana Sana, sisi WaAfrika tumepoteza identify yetu kwa kukimbilia mila,desturi na taratibu za wazungu na kukanyaga, kuzikana na kuzidharua Mila na desturi zetu.

Kwani Kabla ya wazungu na waarabu kuja sisi WaAfrika tulikuwa hatuabudu ? Ukweli ni kwamba tulikuwa tunaahudu na Mungu alitusikia, kila hitaji letu tulilipata kwa utaratibu wa ibada zetu.

Ujio wa wazungu na waarabu umeua Mila zetu, ni ujinga kuamini kuwa Sala zao ndio za kweli na Sala zetu ni matambiko[emoji17] ukienda Japan, china etc walikataa ujanja wa wazungu , wamebaki na Mila zao za ibada.

Laana ya kuacha Mila zetu itatugharimu Afrika, mabalaa yote ya Africa ni juu ya laana ya kukataa Mila zetu na kufata Mila za wazungu na waarabu. Ona Sasa hii aibu ya Kadinali mwafrika kubaguliwa waziwazi [emoji24]
Endalea na mila zako nani kakuzuya nenda kaabu mibuyu si hipo na mapango mtu akifa mfunge mchimbe shimo muigize humo mmkalishe kwenye kigoda na vibuyu via maji
 
We mara yako ya mwisho kupigwa busu na mwanaume ni lini?
me nimeongelea kuhusu kuwatetea hao walawiti wa watoto wadogo,

hv kuna kadinal au padre mweusi anahudumu pale st peterr basilica vatican?
 
Sisi salamu za namna hiyo mwanaume kwa mwanaume ni mwiko
 
Zote na uislam pia
Qur'an 3:19.
Bila ya shaka Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu. Na walio pewa Kitabu hawakukhitalifiana ila baada ya kuwajia ujuzi, kwa sababu ya uhasidi ulio kuwa baina yao. Na anaye zikataa Ishara za Mwenyezi Mungu basi hakika Mwenyezi Mungu ni Mwepesi wa kuhisabu. 19
 
Umepotoka........
Kitu ambacho hujui uislam ulimegwa kutoka ukristo
19. Bila ya shaka Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu. Na walio pewa Kitabu hawakukhitalifiana ila baada ya kuwajia ujuzi, kwa sababu ya uhasidi ulio kuwa baina yao. Na anaye zikataa Ishara za Mwenyezi Mungu basi hakika Mwenyezi Mungu ni Mwepesi wa kuhisabu. 19
 
Qur'an 3:19.
Bila ya shaka Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu. Na walio pewa Kitabu hawakukhitalifiana ila baada ya kuwajia ujuzi, kwa sababu ya uhasidi ulio kuwa baina yao. Na anaye zikataa Ishara za Mwenyezi Mungu basi hakika Mwenyezi Mungu ni Mwepesi wa kuhisabu. 19
Kitabu walipewaje tena si tulikubaliana kilishushwa
 
Endalea na mila zako nani kakuzuya nenda kaabu mibuyu si hipo na mapango mtu akifa mfunge mchimbe shimo muigize humo mmkalishe kwenye kigoda na vibuyu via maji
Rudi darasa la pili A
 
Ubaguzi upi hapo.
Kubusiana wanaume ni utamaduni wa wazungu na waarabu.
Kazingatia hilo.
Tena huoni kwa mweusi kachukua mda mrefu kuliko kwa weupe wenzake angemruka sawa ubaguzi ungeonekana
 
Kusema dini ya waafrika ni ipi hio maana kila jamii ilikua na dini Yao.
Kwanza hakuna dini ya waafrika tofautisha tamaduni na dini
Dini ni kuabudu nguvu iliyo kuu
 
Hayo madini ndio yamefanya waafrika tukawa watumwa wakifkra na kuishi kama mashetani.
Mwafrika angeshika dini asingekuwa alivyo angekuwa sawa na hao waliomletea dini, kimaendeleo na kifikra
 
Waafrika hawakuwa na dini kabla ya ujio wa hizi dini.
Dini kwa maana
. walitumia kitabu gani,
Walimuabudu nani
Kutambika Sio dini bali ni ibada.
Dini ni mfumo mzima wa maisha
 
Waafrika walikuwa gizani kabla ya ujio wa dini,kwa maana waliabudu wasichokijua na wao kabla ya dini watakuhukumiwa kwa sheria ya maadili ya jamii yaani.
Do and don't do.
 
Back
Top Bottom