FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Hiyo mnadanganywa na shetani mnayemuamini ili mbaki kumuabudu yeye. Shetani ana mbinu za kijinga za kuwaingiza mkenge wajinga kama wewe.Sawa kwa mtindo wa kujilipua,kuteka lakini bado!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo mnadanganywa na shetani mnayemuamini ili mbaki kumuabudu yeye. Shetani ana mbinu za kijinga za kuwaingiza mkenge wajinga kama wewe.Sawa kwa mtindo wa kujilipua,kuteka lakini bado!
Ukristo siyo dini.
Hiyo mnadanganywa na shetani mnayemuamini ili mbaki kumuabudu yeye. Shetani ana mbinu za kijinga za kuwaingiza mkenge wajinga kama wewe.
Najitathimini najikuta majibu sipatiMoja ya janga la dunia lijalo ni hayo maroboti
Siyo kweli. Hakuna kujiripua katika Uislam.Wale wa mabikira saba. Baada ya kujiripua.
Wewe wasemaSisi hiyo sio salamu yetu. Huyo kadinali mwenyewe hakuientertain. Wote hapo wanajua sio desturi yetu. Umepanick
Agomee salamu? Wakati ni utaratibu wetu wakatoliki?. Kimsingi amebaguliwa. Ukitaka kuamini kwamba hyo ni salamu ya wakatoliki angalia mapokezi ya kadinali Rugambwa hapa Tz akitokea huko vatcanWaafrika na kupigana mabusu midume wapi na wapi mkuu itakua mwamba aligomea wewe tu umetafsiri vibaya
Siyo kweli. Hakuna kujiripua katika Uislam.
Mabikira hawa idadi ukifika peponi, aliyekwambia saba anakuminyia, kakudanganya.
Ni nguvu yako, hata 1,000 hakuna idadi.Kweli kuna sheikh mmoja alisema mizigo 50. Na unapewa nguvu ya kuitumia yote kwa siku.
Vp kuhusu jinsi yenu kina FaizaFoxy nanyi ahadi ikojee?
,[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]sure, mzuka unatoka wapi apoKama ni kihistoria na kiutamaduni, basi Siyo tu kubusu mtu wa Jinsia moja bali hata kissing mwanamke hadharani si kati utamaduni wa kawaida au maarufu miongoni mwa tamaduni nyingi za kiafrika, South Sudan ni kawaida.
By the way, kama tamaduni ni hizi utaanzia wapi kupata idea au mizuka ya ku kiss
View attachment 2774071View attachment 2774072View attachment 2774073View attachment 2774074
Ni nguvu yako, hata 1,000 hakuna idadi.
Sasa huko mapapai ndiyo sorry, mlie tu, mnashindwa wa duniani wa huko mtawasikia mitandaoni tu.
Tiririka mkuuNilisema hapa juzi juzi, kuna kahali ka utumwa katika hili
Chchote tunachotaka. Mabikra hata elfu, kwani mabikra huwa ni wa kike tu?Ha ha ha haaa
Hujaniambia kwa jinsi ya ke, nyie mtazawadiwa nini peponi?
Chchote tunachotaka. Mabikra hata elfu, kwani mabikra huwa ni wa kike tu?
Wewe vipi, ulishatolewa bikra yako?
Utaratibu upi huo tena? Unataka kufananisha maisha ya peponi na jela ya duniani? Hakuna kufa huko.Ha ha Haa
Ina maana utaratibu utabadilika. Kwa sasa one to many, yaani 1-me to 4-ke.
Hivyo peponi itakuwa 1-me to many-ke and vice versa.
Utaratibu upi huo tena? Unataka kufananisha maisha ya peponi na jela ya duniani? Hakuna kufa huko.
Kabisa....KADINALI MWEUSI ABAGULIWA WAZI WAZI
View attachment 2773929
Unajua haya mambo ya Wa Afrika kudandia dini za wazungu huwa yananikera Sana Sana, sisi WaAfrika tumepoteza identify yetu kwa kukimbilia mila,desturi na taratibu za wazungu na kukanyaga, kuzikana na kuzidharua Mila na desturi zetu.
Kwani Kabla ya wazungu na waarabu kuja sisi WaAfrika tulikuwa hatuabudu ? Ukweli ni kwamba tulikuwa tunaahudu na Mungu alitusikia, kila hitaji letu tulilipata kwa utaratibu wa ibada zetu.
Ujio wa wazungu na waarabu umeua Mila zetu, ni ujinga kuamini kuwa Sala zao ndio za kweli na Sala zetu ni matambiko😔 ukienda Japan, china etc walikataa ujanja wa wazungu , wamebaki na Mila zao za ibada.
Laana ya kuacha Mila zetu itatugharimu Afrika, mabalaa yote ya Africa ni juu ya laana ya kukataa Mila zetu na kufata Mila za wazungu na waarabu. Ona Sasa hii aibu ya Kadinali mwafrika kubaguliwa waziwazi 😭
Ukristo siyo dini.