Kadinali mweusi abaguliwa waziwazi

Kadinali mweusi abaguliwa waziwazi

Sawa kwa mtindo wa kujilipua,kuteka lakini bado!
Hiyo mnadanganywa na shetani mnayemuamini ili mbaki kumuabudu yeye. Shetani ana mbinu za kijinga za kuwaingiza mkenge wajinga kama wewe.
 
Hiyo mnadanganywa na shetani mnayemuamini ili mbaki kumuabudu yeye. Shetani ana mbinu za kijinga za kuwaingiza mkenge wajinga kama wewe.

Wale wa mabikira saba. Baada ya kujiripua.
 
Shauri yake alienda kufanya nini huko? Arudi nyumbani kumenoga.
 
Waafrika na kupigana mabusu midume wapi na wapi mkuu itakua mwamba aligomea wewe tu umetafsiri vibaya
Agomee salamu? Wakati ni utaratibu wetu wakatoliki?. Kimsingi amebaguliwa. Ukitaka kuamini kwamba hyo ni salamu ya wakatoliki angalia mapokezi ya kadinali Rugambwa hapa Tz akitokea huko vatcan
 
Siyo kweli. Hakuna kujiripua katika Uislam.


Mabikira hawa idadi ukifika peponi, aliyekwambia saba anakuminyia, kakudanganya.

Kweli kuna sheikh mmoja alisema mizigo 50. Na unapewa nguvu ya kuitumia yote kwa siku.
Vp kuhusu jinsi yenu kina FaizaFoxy nanyi ahadi ikojee?
 
Kweli kuna sheikh mmoja alisema mizigo 50. Na unapewa nguvu ya kuitumia yote kwa siku.
Vp kuhusu jinsi yenu kina FaizaFoxy nanyi ahadi ikojee?
Ni nguvu yako, hata 1,000 hakuna idadi.

Sasa huko mapapai ndiyo sorry, mlie tu, mnashindwa wa duniani wa huko mtawasikia mitandaoni tu.
 
Kama ni kihistoria na kiutamaduni, basi Siyo tu kubusu mtu wa Jinsia moja bali hata kissing mwanamke hadharani si kati utamaduni wa kawaida au maarufu miongoni mwa tamaduni nyingi za kiafrika, South Sudan ni kawaida.
By the way, kama tamaduni ni hizi utaanzia wapi kupata idea au mizuka ya ku kiss
View attachment 2774071View attachment 2774072View attachment 2774073View attachment 2774074
,[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]sure, mzuka unatoka wapi apo
Watu wanajiongelesha sana bora tufate dini zetu waafrica naamini kabisa hakuna hata mmoja anaweza gusa mila za kiafrica

Izo picha zimepigwa karne ya 20 lakini kuna jamii bado inaishi kwenye upuuzi kama huo

Na tusichojua ni kwamba dini zetu za asili za kiafrica ndo zilizotufanya tuwe watumwa zilifanya babu zetu wawe wajinga hadi wakachukuliwa kama wanyama

Kwa anaependa kweli dini na tamaduni za Africa aende akamtoboe ivo mwanae mdomo kwasababu iyo hali inafanya mizimu ikupe nguvu [emoji16][emoji16]
 
Ni nguvu yako, hata 1,000 hakuna idadi.

Sasa huko mapapai ndiyo sorry, mlie tu, mnashindwa wa duniani wa huko mtawasikia mitandaoni tu.

Ha ha ha haaa
Hujaniambia kwa jinsi ya ke, nyie mtazawadiwa nini peponi?
 
Chchote tunachotaka. Mabikra hata elfu, kwani mabikra huwa ni wa kike tu?

Wewe vipi, ulishatolewa bikra yako?

Ha ha Haa
Ina maana utaratibu utabadilika. Kwa sasa one to many, yaani 1-me to 4-ke.
Hivyo peponi itakuwa 1-me to many-ke and vice versa.
 
Ha ha Haa
Ina maana utaratibu utabadilika. Kwa sasa one to many, yaani 1-me to 4-ke.
Hivyo peponi itakuwa 1-me to many-ke and vice versa.
Utaratibu upi huo tena? Unataka kufananisha maisha ya peponi na jela ya duniani? Hakuna kufa huko.
 
Utaratibu upi huo tena? Unataka kufananisha maisha ya peponi na jela ya duniani? Hakuna kufa huko.

The teh tihiii
Mbali na mabikra, nini kingine kitakuwa burudani kwa wakazi wa peponi?
 
KADINALI MWEUSI ABAGULIWA WAZI WAZI

View attachment 2773929
Unajua haya mambo ya Wa Afrika kudandia dini za wazungu huwa yananikera Sana Sana, sisi WaAfrika tumepoteza identify yetu kwa kukimbilia mila,desturi na taratibu za wazungu na kukanyaga, kuzikana na kuzidharua Mila na desturi zetu.

Kwani Kabla ya wazungu na waarabu kuja sisi WaAfrika tulikuwa hatuabudu ? Ukweli ni kwamba tulikuwa tunaahudu na Mungu alitusikia, kila hitaji letu tulilipata kwa utaratibu wa ibada zetu.

Ujio wa wazungu na waarabu umeua Mila zetu, ni ujinga kuamini kuwa Sala zao ndio za kweli na Sala zetu ni matambiko😔 ukienda Japan, china etc walikataa ujanja wa wazungu , wamebaki na Mila zao za ibada.

Laana ya kuacha Mila zetu itatugharimu Afrika, mabalaa yote ya Africa ni juu ya laana ya kukataa Mila zetu na kufata Mila za wazungu na waarabu. Ona Sasa hii aibu ya Kadinali mwafrika kubaguliwa waziwazi 😭
Kabisa....

Naunga mkono 💯💯💯
 
Kuna clips nyingi hawa wapuuzi walikua wanawabagua hata watoto
 
Back
Top Bottom