Kadinali Rugambwa ampokea Rais Samia Tabora

TEC hawahongwi kanga wala sukari.
Tulizeni masaburi...haijaisha hadi imesha ...enyi Ufaransa a.k.a kunguni
 
Kukosoana, kurekebishana kwa serikali, taasisi za dini au kiraia siyo uadui bali ndiyo msingi wa kujenga Tanzania iliyo Bora na imara zaidi.
Ni majuha tu yanaoyaweza kukubaliana kila kitu bila kutofautiana na kufikia muafaka baada ya kueleweshana.
 
Hili Kanisa hili jamni, nilifukuzwa seminary nikiwa form six..

Dadangu aliolewa Kwa wa KKKT na Wazazi wakapokea mahari kimyakimya... Aisee sijui walijuaje.

Niliitwa nikiwa kwenye sakristia najiandaa na Ibada-ikawa for food

Hukuwa na wito muzehe!
 
Kwahiyo hapa walikuwa wanachanganya siasa na mwani ?
 
Kazi zingine za ajabu sana, Rais anaongea na Kardinali walinzi bado wako matakoni, wanahisi kajifunga mabomu ndani ya kanzu nini?
Kwanini wasitumie common-sense.
 
Ahaha usicheke braza, ila kanisa achana-nalo Aisee!

Mahari ilipokelewa kisiri mno Leo, kesho naitwa na lector kuwa 'unamfahamu .......' nikajibu ndio, ni dada yangu, akajibu ooh! Very nice, now pick your father's letter.....

Mpaka Leo Sina hamu ahahaha
 
Punguza ukali wa maneno.
Muadhama Protase Kardinali Rugambwa ni Askofu Mkuu Mwandamizi wa Jimbo Kuu la Tabora.
Hapa, neno 'Mwandamizi' maana yake ni "mwenye haki ya kurithi" cheo cha Uaskofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Tabora, pindi cheo hicho kitakapokuwa 'wazi'.
Cheo hicho kitakuwa wazi baada ya Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Tabora, Mhashamu Askofu Mkuu Paulo Ruzoka atakapofikisha umri wa miaka 75.
Kwa hiyo Muadhama Protase Kardinali Rugambwa ni "Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Tabora ' in waiting' till the day Archbishop Paul Ruzoka celebrates his 75th birthday.
Period.
 
TEC ndiyo chombo kikuu cha Kanisa Katoliki Tanzania. Chombo hicho kinakuwa chini ya Rais wa TEC.

Laurian Kadinali Rugambwa, wakati anateuliwa na papa kuwa kadinali, Afrika nzima haikuwa na kadinali hata mmoja. Na alipoteuliwa hakuwa anawakilishi nchi ya Tqnzqnia wala bara la Afrika.

Makadinali ni wateule wa papa kwaajili ya shughuli za Vatican, ndiyo maana automatically wanapewa uraia wa Vatican. Na mwakikishi wa Papa nchini hawi kadinali bali kuna mtu anaitwa balozi wa papa au Vatican. Wapo pia makadinali ambao baada ya kuteuliwa, hupewa shughuli maalum Vatican, kama vile kusimamia idara mbalimbali za Kanisa.
 
Kuna neno umelisahau ni Kanisa Moja Takatifu Katoliki la Mitume πŸ˜€
ambalo, akiwa ni ..., then ni lazima awe ...!.
P

 
Kuna neno umelisahau ni Kanisa Moja Takatifu Katoliki la Mitume πŸ˜€
ambalo, akiwa ni ..., then ni lazima awe ...!.
P

P naomba msaada japo unakuwaga MGUMU kusaidia vijana wadogo kama Mimi.

Naomba unisaidie makala Moja aliandika Ezekiel kamwaga GAZETI la Raia Mwema kuhusu Getrude Mongera na Kundi la B53 kama sikosei.
(Harakati na Kundi lake la Kumkataa Salim)

Niliisoma Ile makala Nikiwa kidato Cha Nne natamani noisome Tena

Naomba Msaada wako
 
Hata Nyerere alisoma Tabora boys
Akaomba support ya wazee wa Tabora kupata Uhuru wa Tanganyika
Na ndiko alikojifunzia kucheza bao na kunywa kahawa kama maza leo
Hiyo ndio mboka ya manyema
Aka Toronto
Fuatilia historia vizuri, Nyerere alianza kucheza bao tangu akiwa nyumbani kwao Butiama na sababu hiyo ilipelekea yeye kupelekwa shule baada ya kuwafunga baadhi ya marafiki wa baba yake alipocheza nae na kudhihirisha kuwa ana upeo mkubwa
 
Hakuna Askofu mkuu wa kabisa katoliki Tanzania.Ni vema kabla kuandika na kupost uliza kwanza vyeo kabisa vimekaaje.Kwanza Rugambwa bado yupo chini ya Ruzoka Jimbo kuu la Tabora.Atakaporithi kiti atakua Askofu mkuu wa Jimbo la Tabora na mamlaka yake yataishia "Jimbo la Tabora"elewa Jimbo la Tabora.
 
Hivi protocol akiwepo Ruwaichi Askodu Mkuu Jimbo kuu Dar.Rugambwa Cardinal na Mkuu wa Jimbo kuu Tabora,Nyaihoza Chairman Tec. Kwenye utambulisho naanua na nani? Fuatilia hotuba ya waziri mkuu akiwa Tanga kumsimika Askodu wa Tanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…