Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
TEC hawahongwi kanga wala sukari.Askofu Mkuu wa Kanisa katoliki nchini Tanzania, Kadinali Protase Rugambwa amekutana na Mhe Rais Samia Suluhu Hassan mkoani Tabora ikiwa ni mara ya kwanza tangu kuapishwa kwake.
Mara baada ya kuwasili Kadinali Rugambwa alimuombea Rais Samia sala maalum kumtakia heri katika uongozi wake.
Tabora ni nyumbani! Karibu sana Mama wa Taifa
Wale wanaosema Mama ana shida na TEC bado mko na msimamo wenu au?
Mwezi huu itakuja habari ambayo wengi wenu hamtoipenda, habari hiyo itakuja kabla ya maandamao yetu ya mchongo ya akina Mwabukusi. #MamaYukoKazini
Rais Samia Suluhu chuma hiki kimeaga kwao Kizimkazi.
View attachment 2785654
View attachment 2785655
View attachment 2785656
View attachment 2785657
View attachment 2785658
View attachment 2785659
Tulizeni masaburi...haijaisha hadi imesha ...enyi Ufaransa a.k.a kunguni