Kadinali Rugambwa ampokea Rais Samia Tabora

Hakuna askofu mkuu wa kanisa katoliki Tanzania ila Kuna kadinali wa Tanzania

Nawe umekosea kidogo. Usahihi ni kwamba hakuna Askofu Mkuu wa nchi, na hakuna kadinali wa nchi. Siyo lazima nchi kuwa na kadinali, na nchi moja inaweza kuwa na makadinali hata watano. Kazi za kadinali hazipo katika nchi bali Vatican.
 
Hakuna kadinali wa Tanzania bali kuna kadinali mtanzania
Hiyo ni semantics tuu...kwa mfano ukisema Mbunge wa JMT au US Senator...mleta mada anaweza asiwe na uelewa mkubwa wa hierarchies za RC , lakini uwakilishaji wake hajakosea sana...Rugambwa ni Askofu Mkuu wa kanisa katoliki Nchini TZ ambaye kituo chake cha Kazi ni Tabora, kama mnakumbuka Ruwaichi alikua Mwanza akahamishiwa Dar...pia Protase ni kardinal ambaye kituo chake cha Kazi ni Tanzania...wenye kumbukumbu kuna interview alifanya Askofu kilaini na akasema kanisa katoliki TZ lina bahati kubwa sana kuwa na makadinali wawili ambao wanauwezo wa kumchagua Pope ,ikitokea vacancy...

Na kwa ranks ya kanisa ilivyo Rugambwa sio Askofu Mkuu wa kawaida..yeye ndie mshauri Mkuu wa pope kutokea kanisa katoliki Nchini Tanzania...

Huwezi kumwita PM Majaliwa au Mawaziri eti ni wabunge tuu kama kina kibajaji,Msukuma na wengine wa aina yao.
 
Hili Kanisa hili jamni, nilifukuzwa seminary nikiwa form six..

Dadangu aliolewa Kwa wa KKKT na Wazazi wakapokea mahari kimyakimya... Aisee sijui walijuaje.

Niliitwa nikiwa kwenye sakristia najiandaa na Ibada-ikawa for food
Kwamba dada yako kuolewa na mKKKT ndo ww ukafukuzwa seminari [emoji28][emoji28].
.
.
Vijana wamekuwa waongo sana.
 
Hiyo ni semantics tuu...kwa mfano ukisema Mbunge wa JMT au US Senator...mleta mada anaweza asiwe na uelewa mkubwa wa hierarchies za RC , lakini uwakilishaji wake hajakosea sana...Rugambwa ni Askofu Mkuu wa kanisa katoliki Nchini TZ ambaye kituo chake cha Kazi ni Tabora, kama mnakumbuka Ruwaichi alikua Mwanza akahamishiwa Dar...pia Protase ni kardinal ambaye kituo chake cha Kazi ni Tanzania...wenye kumbukumbu kuna interview alifanya Askofu kilaini na akasema kanisa katoliki TZ lina bahati kubwa sana kuwa na makadinali wawili ambao wanauwezo wa kumchagua Pope ,ikitokea vacancy...

Na kwa ranks ya kanisa ilivyo Rugambwa sio Askofu Mkuu wa kawaida..yeye ndie mshauri Mkuu wa pope kutokea kanisa katoliki Nchini Tanzania...

Huwezi kumwita PM Majaliwa au Mawaziri eti ni wabunge tuu kama kina kibajaji,Msukuma na wengine wa aina yao.
Kila jimbo lina mamlaka kamili chini ya Askofu wake. Kwa hiyo Mwadhama Rugambwa hana mamlaka yoyote nje ya jimbo lake. Hadhi yake ya ukadinali ni kwenye kumchagua papa ama yeye kuchaguliwa, hamna cha ziada. Papa atashauriwa na makadinali na maaskofu wa "Curia".
 
Askofu Mkuu wa Kanisa katoliki nchini Tanzania, Kadinali Protase Rugambwa amekutana na Mhe Rais Samia Suluhu Hassan mkoani Tabora ikiwa ni mara ya kwanza tangu kuapishwa kwake.

Mara baada ya kuwasili Kadinali Rugambwa alimuombea Rais Samia sala maalum kumtakia heri katika uongozi wake.

Tabora ni nyumbani! Karibu sana Mama wa Taifa

Wale wanaosema Mama ana shida na TEC bado mko na msimamo wenu au?

Mwezi huu itakuja habari ambayo wengi wenu hamtoipenda, habari hiyo itakuja kabla ya maandamao yetu ya mchongo ya akina Mwabukusi. #MamaYukoKazini

Rais Samia Suluhu chuma hiki kimeaga kwao Kizimkazi.

View attachment 2785654
View attachment 2785655
View attachment 2785656
View attachment 2785657
View attachment 2785658
View attachment 2785659

Hakuna Askofu Mkuu RC. Kila dayosisi na Jimbo Lina mkuu wake.
 
Kun
Kila jimbo lina mamlaka kamili chini ya Askofu wake. Kwa hiyo Mwadhama Rugambwa hana mamlaka yoyote nje ya jimbo lake. Hadhi yake ya ukadinali ni kwenye kumchagua papa ama yeye kuchaguliwa, hamna cha ziada. Papa atashauriwa na makadinali na maaskofu wa "Curia".
Kuna aliyebisha kuhusu "mamlaka kamili" ya Jimbo lolote!?
Besides issue ni kuhusu Askofu Mkuu wa kanisa katoliki Tanzania...ndio maana nimemgusa Askofu Mkuu Ruwaichi aliyekuwa Jimbo kuu Mwanza na akahamishiwa Dar.
 
Hakuna Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Tanzania, kuhusu kuhamishwa kwa Ruwaichi kuja Dar ni kwasababu alionekana anaweza kuwa mrithi sahihi wa Askofu Mkuu Polycarp Kardinali Pengo kama Askofu Mkuu wa jimbo la Dar es salaam.
 
Askodu Ruwaichi ndo Mkuu wa kanisa hata hivyo Kuna chombo kinaitwa Baraza la Maaskofu Chairman ni Nyaiongwa
 
Kw
Hakuna Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Tanzania, kuhusu kuhamishwa kwa Ruwaichi kuja Dar ni kwasababu alionekana anaweza kuwa mrithi sahihi wa Askofu Mkuu Polycarp Kardinali Pengo kama Askofu Mkuu wa jimbo la Dar es salaam.
Kwahiyo ni Askofu Mkuu wa kanisa lipi!? Na nchi ipi?!
 
Kuna majimbo sio Makuu Mkuu... kuna Askofu kama kilaini au yule wa Rulenge na karagwe and then kuna kina Ruzoka na Ruwaichi.
Nadhani kuna vitu utakua unachanganya ukisikia neno Mkuu, imeelezwa hata hapo juu kuwa Tanzania kuna majimbo makuu (Archidiocesses) saba amabayo kila moja linaunda Ecclesiastical province kwenye mkutano wa TEC.

Kila Jimbo kuu linakua na majimbo yanayounda ukanda huo na linaongozwa na Askofu Mkuu.

Kuna Archidiocess za Arusha, Tabora, Mbeya, Dar es salaam, Mwanza, Songea na Dodoma.

Kuhusu Askofu Kilaini, aliondoka jimbo la Dar es salaam akiwa kama Askofu Msaidizi, Baba Mtakatifu kwa sababu zake (ofisi ya Vatican) haikuoni ulazima wa kumpa hadhi ya Askofu wa jimbo, bali akabaki askofu msaidizi na kuwa msimamizi wa jimbo hadi atakapopatikana askofu wa jimbo la Bukoba.
Nafasi ya msimamizi anaweza kupewa mtu yeyote, mfano baada ya kifo cha Askofu Banzi, jimbo la Tanga lilibaki chini ya usimamizi wa Padre Kiangio (ambae hakua askofu kwa wakati huo), baada ya Askofu Minde kuhamishiwa Moshi aliombwa kuendelea kubaki msimamizi wa jimbo la Kahama.
 
Askofu Mkuu wa Kanisa katoliki nchini Tanzania, Kadinali Protase Rugambwa amekutana na Mhe Rais Samia Suluhu Hassan mkoani Tabora ikiwa ni mara ya kwanza tangu kuapishwa kwake.

Mara baada ya kuwasili Kadinali Rugambwa alimuombea Rais Samia sala maalum kumtakia heri katika uongozi wake.

Tabora ni nyumbani! Karibu sana Mama wa Taifa

Wale wanaosema Mama ana shida na TEC bado mko na msimamo wenu au?

Mwezi huu itakuja habari ambayo wengi wenu hamtoipenda, habari hiyo itakuja kabla ya maandamao yetu ya mchongo ya akina Mwabukusi. #MamaYukoKazini

Rais Samia Suluhu chuma hiki kimeaga kwao Kizimkazi.

View attachment 2785654
View attachment 2785655
View attachment 2785656
View attachment 2785657
View attachment 2785658
View attachment 2785659
Pumbavu kabisa
Hakuna Title ya Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki nchini

Sent from my Nokia G60 5G using JamiiForums mobile app
 
Hiyo ni semantics tuu...kwa mfano ukisema Mbunge wa JMT au US Senator...mleta mada anaweza asiwe na uelewa mkubwa wa hierarchies za RC , lakini uwakilishaji wake hajakosea sana...Rugambwa ni Askofu Mkuu wa kanisa katoliki Nchini TZ ambaye kituo chake cha Kazi ni Tabora, kama mnakumbuka Ruwaichi alikua Mwanza akahamishiwa Dar...pia Protase ni kardinal ambaye kituo chake cha Kazi ni Tanzania...wenye kumbukumbu kuna interview alifanya Askofu kilaini na akasema kanisa katoliki TZ lina bahati kubwa sana kuwa na makadinali wawili ambao wanauwezo wa kumchagua Pope ,ikitokea vacancy...

Na kwa ranks ya kanisa ilivyo Rugambwa sio Askofu Mkuu wa kawaida..yeye ndie mshauri Mkuu wa pope kutokea kanisa katoliki Nchini Tanzania...

Huwezi kumwita PM Majaliwa au Mawaziri eti ni wabunge tuu kama kina kibajaji,Msukuma na wengine wa aina yao.
Naona huelewi mahusiano ya kadinali na nchi. Sio lazima kila nchi iwe na kadinali na zipo nchi zenye makadinali wengi. Majukumu ya ukadinali hayana uhusiano wowote na nchi anayotoka. Kwa hapa tz Rugambwa ni askofu mkuu kama walivyo wengine na hana jukumu la kipekee kwa kanisa la Tanzania
 
Back
Top Bottom