Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Nchi imelaaniwa hiiSina shida na machawa najua wanaisala riziki ila najiuliza,,,Hivi wanaosifiwa hakuna hata wakati wanahisi aibuu Kwa kauli za machawa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi imelaaniwa hiiSina shida na machawa najua wanaisala riziki ila najiuliza,,,Hivi wanaosifiwa hakuna hata wakati wanahisi aibuu Kwa kauli za machawa.
Huyu bila shaka ni CHADEMA maana ndio zilikuwa zao kabla havijapigwa marufuku.walikuwa wanakunywa bila kula chakula .ilikuwa mifuko yao inajaa hivyo viroba wanakunywa halafu ndio wanapanda jukwaani kuanza kuporomosha matusi kama vichaa au wendawazimu 😃😃😃😃.
cc Erythrocyte
Na nyie CCM zenu ushoga tuHuyu bila shaka ni CHADEMA maana ndio zilikuwa zao kabla havijapigwa marufuku.walikuwa wanakunywa bila kula chakula .ilikuwa mifuko yao inajaa hivyo viroba wanakunywa halafu ndio wanapanda jukwaani kuanza kuporomosha matusi kama vichaa au wendawazimu 😃😃😃😃.
cc Erythrocyte
Kama hapendwi hata apige vipi sarakasi, atasogezwa pembeni tu huko akawe hata RC au naibu katibu mkuu.Kadogosa ni kati ya wakurugenzi wa mashirika wateule wa Magu ambao bado hajaguswa na "Mama" pamoja na sarakasi kibao hapo TRC.
Haya mapambio ni kule kutokujiamini tu.
umekuja kutetea legacy mama kamshinda mjerumani kutandika reliHuyu bila shaka ni CHADEMA maana ndio zilikuwa zao kabla havijapigwa marufuku.walikuwa wanakunywa bila kula chakula .ilikuwa mifuko yao inajaa hivyo viroba wanakunywa halafu ndio wanapanda jukwaani kuanza kuporomosha matusi kama vichaa au wendawazimu 😃😃😃😃.
cc Erythrocyte
Hawa zero brain ni shida sana. Mdomo hauna mawasiliano na ubongo kwa hiyo mambo ni ropo ropo tuTaarifa hii nzuri imetolewa na Mkurugenzi wa Shirika la Reli la Tanzania
Zaidi soma hapa:
"Kujenga reli ya kuunganisha nchi za Afrika Mashariki , Wajerumani hawakuweza na hawajazungumza sababu, akaja Mkapa lakini haikuwezekana lakini akaja Rais Samia" - Masanja Kadogosa, Mkurugenzi Mkuu TRC.
View attachment 2944220View attachment 2944221
Kazi na uchawa, uchawa na kazi, uchawa kazini.Taarifa hii nzuri imetolewa na Mkurugenzi wa Shirika la Reli la Tanzania
Zaidi soma hapa:
"Kujenga reli ya kuunganisha nchi za Afrika Mashariki , Wajerumani hawakuweza na hawajazungumza sababu, akaja Mkapa lakini haikuwezekana lakini akaja Rais Samia" - Masanja Kadogosa, Mkurugenzi Mkuu TRC.
View attachment 2944220View attachment 2944221
Huyo hapoHawa zero brain ni shida sana. Mdomo hauna mawasiliano na ubongo kwa hiyo mambo ni ropo ropo tu
Idadi ya watanzania wanao kwenda kuacha akili chooni na kutoka na haja kubwa kichwani inazidi kuongezeka kwa kasi
Hivi huyu Mnyantuzu hivi ana akili nzuri kweli?
Kwanza namshukuru Mama Samia kwaajili ya Kadogosa!
Masanja anajifanya hajui Wajerumani walijenga reli 1906 wenyewe wakiwa watawala wa nchi yetu., sisi zaidi ya miaka 100 baadae bado hatuwezi kujenga reli tumelazimika kuita Waturuki na Wachina waje watusaidie. Aibu kwa ccm na serikali. Kwani kile chuo cha reli Tabora wanafundisha nini?Taarifa hii nzuri imetolewa na Mkurugenzi wa Shirika la Reli la Tanzania