Mkuu mbona jamaa kaeleza vizuri sana?Umeme wa kuendeshea treni 336,000 ila nauli ya abiria mmoja 100,000-120,000
Ile ya elfu 13 ni ordinary.Ile ya afu 13 ni ipi? Mbona kama raia tunachanganywa?
Itakua kama deluxe to ya MGR ile inasimama dakika 5 kila kituo hivyo haitachelewa sana.Ile ya 30,000 inasimama kila kituo kuanzia Pugu,Soga sijui ngerengere hadi mfike Dom vituo 19
Haitafika masaa 8 mkuu.Sasa wale wa 31K ambayo sio express ambapo kila kituo wanashusha si itakuwa inafika masaa 8 kama basi.
Panda ya elfu 31 mkuu, wacha kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake.wameiba mpaka kufuru wanavyotaja hiyo laki wanaona ni kama elifu moja tu!
Umeeleza vizuri sana,ila bado nipo njia panda,hiyo ordinary itakuwa na siti za kukaa tu maana nauli wamesema elfu 13 au kutakuwa na madaraja kama vile la I,II na III..kwa mfano madaraja ya I na II mabehewa yake yanakuwa na vyumba.Kama kutakuwa na madaraja tofauti mbona hawataja bei ya madaraja mengine? au madaraja yote nauli ndio hiyohiyo? Hapa bado sijaelewaIle ya elfu 13 ni ordinary.
Ila hizo za laki ni VIP ama royal class za ile treni ya mchongoko.
Treni za umeme si zimekuja mbili!?
Kuna electric lokomotive ile ilofanyiwa majaribio ikatoka Dar mpk Dom masaa matano kasoro ambayo speed yake mwisho 180km/h.
Na EMU ile treni mchongoko ambayo wanasema speed yake itafika 200km/h.
Nauli zile kubwa ni za EXPRESS EMU mchongoko.
Zile za bei rahisi ni za ile electric lokomotive ordinary.
Sasa wewe chagua unataka mchongoko au ya umeme ya kawaida?
Ordinary ni kukaa tu haina madaraja.Umeeleza vizuri sana,ila bado nipo njia panda,hiyo ordinary itakuwa na siti za kukaa tu maana nauli wamesema elfu 13 au kutakuwa na madaraja kama vile la I,II na III..kwa mfano madaraja ya I na II mabehewa yake yanakuwa na vyumba.Kama kutakuwa na madaraja tofauti mbona hawataja bei ya madaraja mengine? au madaraja yote nauli ndio hiyohiyo? Hapa bado sijaelewa
Ordinary ni kukaa tu haina madaraja.
Yenye madaraja ni hiyo ya EMU.
Treni ya umeme haitakua na kitanda kwasababu ni za mwendo kasi
Asante nimekupataOrdinary ni kukaa tu haina madaraja.
Yenye madaraja ni hiyo ya EMU.
Treni ya umeme haitakua na kitanda kwasababu ni za mwendo kasi.
Mkuu usikariri siyo kila treni inaenda speed ya kobe na ndio maana ikaitwa sgr na siyo mgr, hao wenzetu wana hadi maglev trains zinaenda mpaka zaidi ya 400 kph, hizo nauli ni kwa ajili ya royal na business classes hujalazimishwa kupanda madaraja hayo kuna treni lingine la 30K ordinarySpeed ya treni bora Kobe .arafu bila aibu mnasema 100k ππ
Japan, china treni ni usafiri wenye bei nafuu kuliko hata taxi π Tanzania kupanda treni ni Anasa
Wacha maneno meng huwezi panda bas mbona mnapenda kusingizaia umaskini wakat mnahongaMbongo ni mbongo tu mabwasha ya kufanya huduma kusaidia watu ilitakiwa nauli iwe gongo kumi tu kadogosa anataka kujenga ghorofa na kununua v8 kwa nauli hiyo hiyo!
Hizo akili zako za mchwa wala hazinisumbui kichwa!Tukiendekeza masikini Tanzania haitaendelea
Ukitaka panda za 31,000
umaskini wako unanihusu nini hayo mabwasha watu wanapanda kwa nauli rahisi tu sio za kishamba!Wacha maneno meng huwezi panda bas mbona mnapenda kusingizaia umaskini wakat mnahonga
Huwez panda mwendo kasi panda basi, costa,hiace au nunua gar yako