Kadogosa: Nauli ya Treni ya Mchongoko Dar - Dodoma itakuwa tsh 100,000 - 120,000

Kadogosa: Nauli ya Treni ya Mchongoko Dar - Dodoma itakuwa tsh 100,000 - 120,000

Ile ya afu 13 ni ipi? Mbona kama raia tunachanganywa?
Ile ya elfu 13 ni ordinary.
Ila hizo za laki ni VIP ama royal class za ile treni ya mchongoko.
Treni za umeme si zimekuja mbili!?
Kuna electric lokomotive ile ilofanyiwa majaribio ikatoka Dar mpk Dom masaa matano kasoro ambayo speed yake mwisho 180km/h.
Na EMU ile treni mchongoko ambayo wanasema speed yake itafika 200km/h.
Nauli zile kubwa ni za EXPRESS EMU mchongoko.
Zile za bei rahisi ni za ile electric lokomotive ordinary.
Sasa wewe chagua unataka mchongoko au ya umeme ya kawaida?
 
Ile ya 30,000 inasimama kila kituo kuanzia Pugu,Soga sijui ngerengere hadi mfike Dom vituo 19
Itakua kama deluxe to ya MGR ile inasimama dakika 5 kila kituo hivyo haitachelewa sana.
Kituo kikubwa dakika 20.
Bimaana litawekwa lizaa moja la ziada basi.Maana kuna vituo vingine watu hawashuki.
 
IMG-20240613-WA0003.jpg
IMG-20240613-WA0002.jpg
 
Speed ya treni bora Kobe .arafu bila aibu mnasema 100k 😁😁

Japan, china treni ni usafiri wenye bei nafuu kuliko hata taxi 😁 Tanzania kupanda treni ni Anasa
 
Ile ya elfu 13 ni ordinary.
Ila hizo za laki ni VIP ama royal class za ile treni ya mchongoko.
Treni za umeme si zimekuja mbili!?
Kuna electric lokomotive ile ilofanyiwa majaribio ikatoka Dar mpk Dom masaa matano kasoro ambayo speed yake mwisho 180km/h.
Na EMU ile treni mchongoko ambayo wanasema speed yake itafika 200km/h.
Nauli zile kubwa ni za EXPRESS EMU mchongoko.
Zile za bei rahisi ni za ile electric lokomotive ordinary.
Sasa wewe chagua unataka mchongoko au ya umeme ya kawaida?
Umeeleza vizuri sana,ila bado nipo njia panda,hiyo ordinary itakuwa na siti za kukaa tu maana nauli wamesema elfu 13 au kutakuwa na madaraja kama vile la I,II na III..kwa mfano madaraja ya I na II mabehewa yake yanakuwa na vyumba.Kama kutakuwa na madaraja tofauti mbona hawataja bei ya madaraja mengine? au madaraja yote nauli ndio hiyohiyo? Hapa bado sijaelewa
 
Ordinary ni kukaa tu haina madaraja.
Yenye madaraja ni hiyo ya EMU.
Treni ya umeme haitakua na kitanda kwasababu ni za mwendo kasi.
 
Tukiendekeza masikini Tanzania haitaendelea
Ukitaka panda za 31,000
 
Speed ya treni bora Kobe .arafu bila aibu mnasema 100k 😁😁

Japan, china treni ni usafiri wenye bei nafuu kuliko hata taxi 😁 Tanzania kupanda treni ni Anasa
Mkuu usikariri siyo kila treni inaenda speed ya kobe na ndio maana ikaitwa sgr na siyo mgr, hao wenzetu wana hadi maglev trains zinaenda mpaka zaidi ya 400 kph, hizo nauli ni kwa ajili ya royal na business classes hujalazimishwa kupanda madaraja hayo kuna treni lingine la 30K ordinary
 
Mbongo ni mbongo tu mabwasha ya kufanya huduma kusaidia watu ilitakiwa nauli iwe gongo kumi tu kadogosa anataka kujenga ghorofa na kununua v8 kwa nauli hiyo hiyo!
Wacha maneno meng huwezi panda bas mbona mnapenda kusingizaia umaskini wakat mnahonga
Huwez panda mwendo kasi panda basi, costa,hiace au nunua gar yako
 
Hii mpaka ifike mwisho wa reli nauli yake itakuwa sawa na kupanda mwewe. Acha tu mm nitakufa na nbs , adventure , saratoga.
 
Wacha maneno meng huwezi panda bas mbona mnapenda kusingizaia umaskini wakat mnahonga
Huwez panda mwendo kasi panda basi, costa,hiace au nunua gar yako
umaskini wako unanihusu nini hayo mabwasha watu wanapanda kwa nauli rahisi tu sio za kishamba!
 
Mashirika ni yetu lakini nauli kubwa kuzidi binafsi?. Hii nchi hii...! Fikiria mwendokasi ni manano mwanzo mwisho lakini nauli kubwa. Ikaja shirika la ndege nauli kubwa kuizidi Fast Jet mpaka wakaona waiue Fast Jet. Ni vile tu Watanzania ni wapole,waoga. Fast Jet ilikuwa mkombozi wa watu. Watu asilimia kubwa walianza kuacha kupanda bus,ilikuwa mwendo wa FastJet tu,Mbeya to Dar laki 120 tu ilikuwa. Muda mwingine walikuwa wanatoa na offer mpaka 80.
Hapo bado mapigo, wa tiket zao kwanza ndio zinafuata za serikali. Kesho kesho kutwa shirika limekufa. Nchi hii ni ya kuionea huruma sana
 
Back
Top Bottom