Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 2,404
- 5,682
Inachekesha mno😁😁Wakati matajiri wanahangaika kuficha utajiri wao, masikini wanahangaika kuonyesha utajiri wao. 😁
Sio woteTazama harusi zetu sisi watu weusi hata bado tukiwa na maisha yetu ya chini alafu tazama harusi za watu waliondelea katika nchi tajiri.
Duuuh hii sijaona wengi nakutaga wapo wapo vizuri yaan unajua kabisa huyu tajiri akipitisha maroli yake mawili yale marefu yote yamejaa ng'ombe zake mnatulia tuliiNi vigumu sana kupata utajiri then kuishi maisha ya kawaida ila ukiweza kufanya hivyo wewe ni mwenye akili sana na utadumu kwenye utajiri kwa mda mrefu
Usukumani unakuta mtu ana ng’ombe elf 5 ila viatu vya kuvaa hana anatembea peku peku
Yeah, ni kweli. Kama alivosema jamaa hapo ju. Maskini hana kitu ila atafanya kitu, ili tuseme na yeye yumo. Anafosi kupewa atensheni.Wakati matajiri wanahangaika kuficha utajiri wao, masikini wanahangaika kuonyesha utajiri wao.
Sio tunawapangia.Matukio mengine kama harusi ni once in a lifetime, acha watu waishi wanavyojisikia. Kila anachotumia katafuta kwa nguvu zake.
Tatizo letu sisi ni kujaji maisha ya watu wengine na kutaka waishi kwa standard tunazowapangia. Hili ndo tatizo la hili bara.
Mkuu inategemea na hulka ya kila mmoja. Kuna tajiri Mwanza alifanyia harusi ya ccm kirumba stadium. Vinywaji vilikuwa vinatoka moja kwa moja Tbl pasiansi na cocacola nationalTazama harusi zetu sisi watu weusi hata bado tukiwa na maisha yetu ya chini alafu tazama harusi za watu waliondelea katika nchi tajiri.
Tazama watu weusi wanapopata ustaa mapema namna anavyovaa na wanawake anaohudumia alafu tazama mastaa wenye asili ya kizungu au asia wako simple sana.
Ni ukosefu wa akili.Usukumani unakuta mtu ana ng’ombe elf 5 ila viatu vya kuvaa hana anatembea peku peku
ChaiMkuu inategemea na hulka ya kila mmoja. Kuna tajiri Mwanza alifanyia harusi ya ccm kirumba stadium. Vinywaji vilikuwa vinatoka moja kwa moja Tbl pasiansi na cocacola national
Source: JamiiForums Tanzania Harusi ya kihistoria inafanyika leo mwanzaChai