Kaeni mbali na vibinti vyenye umri wa miaka 2-14; Kama Hautaki Kubaka

tisha sana
 

Kupewa msala ni rahisi Sana. Tena Sana.
Na shetani Michezo hiyo ndio yake
 
Huyu mtu mimi karibia mara zote huwa simwelewi.
Kwenye hii post anausia nini? Au anahamsisha, ni mhamasishaji?
Mtu mpaka kuja kufikiria kutoa post ya namna hii, lazima kuwe kuna shida mahali fulani kichwani

Nafikiri vitu ambavyo wapumbavu hawawezi kuvifikiri. Na kamwe hawatoweza kunielewa
 
 
Mwanaume unapataje hisia kwa mtoto wa miaka 2 kama sio ushetani huo

Dunia ni kubwa. Inawatu wengi. Watu hawafanani. Ukijiona uko hivi jua wengine wako vile. Hiyo ndio Dunia.

Nilikuwa nawapa Watu tahadhari Kwa sababu hayo mambo na matukio yanatokea kila uchwao na mengine mengi huenda hayaripotiwi. Na mengine yanamalizwa kifamilia
 
Mimi nikisha kosa pesa na kosa na hamu ya tendo, haiwezekani kabisa vitoto vidogo hatakuwazia kwa sekunde haijawahi kutokea .....labda kama una pepo za kwenu tu.

Kuhusu mapepo Hilo Watu wanasingizia tuu.
Ila Kwa kiasi kikubwa nilichoeleza ndivyo Hali ilivyo.
 
Umewaambia kitu cha maana, waepuke mazingira ya vishawishi ila nao wawe na self control
 


Hakuna justification ya mtu yeyote kubaka, ni tatizo na ugonjwa hata kama:

- wanawake wote wameisha wamebaki wa miaka 2 - 14.

Kwa kweli kwenye swala la kubaka sioni justification yeyote zaidi ya mbakaji kuliko:

  • Ubinafsi.
  • Ukatili.
  • Ushirikina
  • Upumbavu.

Kuna jamaa angu alikuwa ana kesi ya kubaka Turian huko ndani Morogoro, kanipigia simu sana, ni mdogo sana kwangu, ndo alikuwa anaanza maisha.

Sikwenda kumuwekea mdhamana, ila nikaongea na wahusiku kwamba msifanye chochote kigumu, ila mpelekeni magereza tu, sitakuja.

Akaenda kusota huko, siku 3 kabla ya kuletwa magereza nikaenda kusikiliza magnitude ya mazingira ya yeye kubaka.

1. Mtoto alikuwa na miaka 14, mwanafunzi ila alikuwa na mwili mkubwa sana, na alishatembea na wanaume before wa kutosha - Daktari.

2. Maelezo ya wazazi wake, wao hawakuwa na shida, waliona mtoto wao kapata mume, walikuwa hawana shida ya kumruhusu kwenda kwa jamaa.

3. Nilisikia ni common practise kule wakikuona una hela wanaweza hata kukuloga, au kuweka mazingira ya wewe kuwa na mtoto wao kwa manufaa yao.

Haya maelezo kidogo yalini move kumsaidia Huyu dogo, and kwa kweli tulifanikiwa akasota na kesi mpaka mwisho, na nikaacha hivyo hivyo akafungwa 30, nikijua atatoka kwa rufaa.

Ametoka kwa rufaa tayari, maana walipelekea kesi kihisia.

Nataka kusema nini:

Tuwe makini, lakini hakuna justification yeyote ya mwanaume timamu kubaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…