Kaeni mbali na vibinti vyenye umri wa miaka 2-14; Kama Hautaki Kubaka

Kaeni mbali na vibinti vyenye umri wa miaka 2-14; Kama Hautaki Kubaka

Kuna watu wana Upendo wa asili kwa Watoto, siongelei kuwabaka, kwahiyo usichanganye mafaili.
Hii ni hatari kuliko unavyofikiri.... dunia imeharibika sana, wewe unaweza kuwa na mazoea yasiyo na shida, lakini wakaja wabaya wakafanya yao! You will be the first suspect, mpaka uje kujisafisha, utakuwa umeingia gharama kubwa.
 
Ujumbe mzuri. Mwenye kusikia na asikie.
 
Hata mimi ninao, Mimi nakaa kwenye appartment, kila nikiteremka mara nyingi nakuta watoto wanacheza, au wanalishwa etc, nje.

Huwa nawasalimia, naweza mshika mkono akiwepo mlezi namwambia twende, katacheka, nitatembea hatua 2 then nakarudisha kwa mlezi, ni eneo la uwazi na kawaida.

1. Sitegemei mtu aingize mtoto wa mtu kwake hata kama ana nia nzuri au anapenda watoto, huu ni ujinga kabisa.

2. Sitegemei mtu, bachelor au asiyeishi na mke aingize mtoto wangu kwake hata wa miaka 18 nikaona, tutauana, lipo wazi.

Ni lazima mtu mzima ajue mipaka yake, sio akwepe kesi, ajue, hizi ni logical limits za mie kucheza na watoto wa watu.

Umesema sahihi Kabisa.
Ishu ni kuwa Watu tuko tofauti.

Kimsingi Mimi huwaga sina mazoea ya kijinga, sio tuu Kwa Watoto Bali mpaka Watu wengine.
 
Wala msipuuze huu uzi. Wapo ambao ubakaji ni spirit na wameshabaka au wako njiani kubaka ila hawajashtukiwa. Hawa ni wahanga wa jela watarajiwa.

Lakini wapo wengine kama mimi na wewe ambao kwa akili yako unaamini huwezi kubaka lakini unakaribisha mazingira hatarishi ambayo siku isiyo na jina itakutia hatiani!

Mtoto wa kike hata awe mdogo kiasi gani ni muhimu ujiepushe na ukaribu wa kupitiliza anaostahili mama yake tu. Uwe mjomba, kaka and whoever kaa mbali kabla siku hujashangaa kimekutokea nini ujute milele.

Kama una hamu usizoweza kuzuia kanunue mizigo kuliko siku isiyo na jina ghafla ujikute kwenye kuta nne milele.

Umeweka ufupisho unaoeleweka zaidi Mkuu. Barikiwa
 
Binafsi sitaki kabisa mazoea na vibinti vya watu, ninapokaa kuna vibinti vinasoma njia moja na mimi, lakini sijawahi kuwapa lift hata siku moja. Vitoto vyenyewe vinaliwa na bodaboda kila siku, one day kanapata mimba; unakuwa wa kwanza kwenye line ya suspects.

😂😂😂
Mpaka ueleweke umekwisha wewe.
 
Back
Top Bottom