Kaeni mbali na vibinti vyenye umri wa miaka 2-14; Kama Hautaki Kubaka

Kuna watu wana Upendo wa asili kwa Watoto, siongelei kuwabaka, kwahiyo usichanganye mafaili.
Hii ni hatari kuliko unavyofikiri.... dunia imeharibika sana, wewe unaweza kuwa na mazoea yasiyo na shida, lakini wakaja wabaya wakafanya yao! You will be the first suspect, mpaka uje kujisafisha, utakuwa umeingia gharama kubwa.
 
Ujumbe mzuri. Mwenye kusikia na asikie.
 

Umesema sahihi Kabisa.
Ishu ni kuwa Watu tuko tofauti.

Kimsingi Mimi huwaga sina mazoea ya kijinga, sio tuu Kwa Watoto Bali mpaka Watu wengine.
 

Umeweka ufupisho unaoeleweka zaidi Mkuu. Barikiwa
 
Binafsi sitaki kabisa mazoea na vibinti vya watu, ninapokaa kuna vibinti vinasoma njia moja na mimi, lakini sijawahi kuwapa lift hata siku moja. Vitoto vyenyewe vinaliwa na bodaboda kila siku, one day kanapata mimba; unakuwa wa kwanza kwenye line ya suspects.
 

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mpaka ueleweke umekwisha wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…