Kafulila: 2008 SYNOVATE walisema tatizo namba moja la Watanzania ni maji

Mama katoa pesa nyingi tatizo huko field mafisi ni mengi sana
 
Uchawa upi sasa, Tofauti gani kati ya Uchawa na Uzalendo?
Mkuu rejea hoja na maudhui ya mada ziletazwo hapa jukwaani na kijana wetu Lucas Mwashambwa, ndipo utaweza kupata kwa tafsiri yako mwenyewe maana ya maisha ya uchawa.
 
YULE TUMBILI?
 
Acha ujinga wako wewe . unaelewa hoja ya Mheshimiwa Kafulila? Unaelewa ni vipi tatizo la maji lilikuwa ni tatizo miaka hiyo? Unaelewa ni vipi tatizo la maji lilikwamisha na kuwa kikwazo katika maisha ya watanzania? Unaelewa ni namna gani tatizo la Maji lilikomba pesa za watu mifukoni mwao?
 
Huyu TUMBIRI asituletee ujinga. Yaani report ya 2008 ndiyo anaizungumzia leo...!!?

Kwa anachokisema, inamaanisha kuwa tatizo bado ni lilelile kwa miaka 15 tena ni kwa kiasi kilekile.
Kwa sasa hakuna tatizo hilo kwa kuwa sasa mama yetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu ametoa mabilioni ya pesa katika miradi mbalimbali ya maji .na hivyo kufanya maji kupatikana kwa wingi mijini na vijijini.na hiyo ndio hoja ya Mheshimiwa Kafulila
 
Ulijaribu kupandisha nyuzi zako baada ya kusahaulika. Naona umeamua kuleta nyuzi mpya.
 
Acha kudhihaki watu wewe Kafulila. Kupata kazi PPP ushajiona Rais. Punguza dharau kumbuka ulipotoka.
Acha kutaja taja majina ya watu humu .naona kila mtu anayeleta hoja za Mheshimiwa unaona ni Mheshimiwa Kafulila.tambua tu kuwa watu wanamkubali sana Mheshimiwa Kafulila ndio maana wanamuunga mkono na kumsikiliza na kufuatilia kwa ukaribu sana hoja zake ,kwa kuwa wanatambua ni kiongozi mwenye akili na ufahamu wa masuala wa mbalimbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…