Kafulila: 2008 SYNOVATE walisema tatizo namba moja la Watanzania ni maji

Umeandika kwa hisia sana ila kishabiki
 
Fedha za umma zingetumika vizuri na vyanzo vya maji tulivyo navyo Ili tatizo lingeisha la baadhi ya maeneo kutokuwa na maji .
 
Porojo za kisiasa tu. Kama hata Mwanza City ambayo iko ndani ya ziwa maji ni ya shida, huo utatuzi wa 92% huwa unafanyikia wapi?
Ni mji gani Tanzania ambao una uhakika wa maji 100% kwa 24/7?
 
Kuweka kumbukumbu sawa.
Hakuna cheo kinaitwa mkurugenzi mkuu wa PPP hapa Tanzania. Hakipo.
Pili, Kafulila ni kamishna wa PPP na sio mkurugenzi mkuu.
Mwisho kabisa, tatizo la maji limezidi kuota mizizi zaidi, kwa sasa hadi jiji la Dar linateseka kwa uhaba wa maji.
 
Napenda sana mijadala ya Kafulila,Mungu akubariki brother
 
Cheo kwani ndio nini?
 
Cheo hicho chukua wewe kama vipi?
 
Kafulila umekuja na ID mpya. Baada ya kuona watu wamekushtukia na kukupotezea. Maana kila saa ulikuwa unahangaika kupandisha nyuzi zako zote za nyuma ila ukazidiwa na Gen Z wa Kenya na issue ya Mpina. Fanya kazi acha uchawa.
Acha uongo na uzushi wako hapa
 
Great Kafulila
 
Shida ya maji Tanzania kwakweli inapungua kwa kasi sana Wacha Tukubaliane.
 
Kafulila hana akili timamu, kwamba sahivi tatizo la maji halipo? nenda Monduli, Longido, Same, Siha, Simanjiro, Kiteto na Hanang uone tatizo lilivyo kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…