Mwananchi Huru
JF-Expert Member
- Nov 20, 2021
- 2,128
- 1,896
- Thread starter
- #61
Hujui unachoandika naonaTuna Megawatt 4K ?!!!!! Yaani huyu mtu ambaye hata basics anakosea ndio tunampa udalali wa kuuza moyo wa nchi (NISHATI)?!!!!
Ni kwamba Bwawa lingekamilika tunge double capacity na kama wangekuwa na akili na busara badala ya kuendelea kuwa madalali wa LPG inayotoka ughaibuni hizo hizo double capacity zingesaidia watu kupikia umeme kuliko kuchukua Kodi zao ili kununua gesi kutoka Nje...
Nishati Safi ya Kupikia, Mwarobaini tunao na ni Bora kuliko Gesi
Baada ya kuona kwenye Habari Serikali imeanzisha Mfuko wa Nishati Safi ya Kupikia nikaona ni vema tuangalie kwa nchi Yetu Nishati hio ni ipi na ni vipi itatufaa, ili tusije kuingia gharama ambazo zitakuwa hazina manufaa kwetu. Nishati zilizopo: Kwenye kila kaya aina ya Nishati inayotumiwa...www.jamiiforums.com
Na kwa kufanya hivyo watu wangebakia na pesa za kutumia kwa shughuli nyingine
Nishati Safi ya Kupikia: Kwa Kutumia Tariff Zero (100 per Unit) Mpikiaji badala ya kutumia Gesi Ataokoa Tshs 206/= kwa kila unit
Yaani kila mwanakijiji au kama tukiamua wote wawe Tariff Zero kila mwenye Mtungi wa kujaza elfu 25 akienda kununua huyu wa umeme anasave elfu 16 au kwa maana nyingine ni kama mwenye umeme ananunua mtungi wa gesi kwa elfu nane. Hili lipo wazi kabisa swali ni kwamba kwanini kama Taifa tunapigia...www.jamiiforums.com
Na kama ni issue ya kuwekeza wangeweza kumtumia Mtanzania mwenyewe kila mtu mwenye makazi ili achangie uzalishaji na hivyo kuweza kupikia kwa kutumia gharama ya 0
Wazo huru: PPP's ya Tanesco na wamiliki wa nyumba Tanzania (133.2 gigawatts)
Nishati ni muhimu sana katika Nchi na Tanzania kama nchi ya kitropiki imebarikiwa kuwe na Jua la kutosha ukiunganisha na vyanzo vingine vingi, vilevile kutokana na Vyanzo vya Maporomoko Nishati ya Jua inaweza ikaunganishwa na Maporomoko ya Maji ili kutengeneza battery ya kutunzia Nishati...www.jamiiforums.com