Kafulila: Anayetaka kuwekeza TANESCO na aje,Tanzania inajengeka kwa Kasi mno mwaka 2050 tutahitaji zaidi ya Megawatt 60K wakati leo tuna Megawatt 4K

Kafulila: Anayetaka kuwekeza TANESCO na aje,Tanzania inajengeka kwa Kasi mno mwaka 2050 tutahitaji zaidi ya Megawatt 60K wakati leo tuna Megawatt 4K



Shida zaidi ni hao media wenyewe nchi ina energy plan, ambayo ni ya hovyo kwenye finance tu.

Yaani wana mipango ya projects za kuanza utekelezaji miaka mitano baadae na estimated costs, udhani kama wana inflation adjustments.

Worst katika hiyo mipango yao hakuna sehemu inayozungumzia industry structure to attain that goal.

Anachoongea Kafulila na strategic panning ya serikali ni vitu tofauti,

Mambo kama haya ni possible kwenye ‘banana republic’ kama Tanzania.
Safi sana ,Hiyo mipango unayoizungumzia Iko wapi, Unaweza kushare hapa?
CCM ndio CCM tu
 
Tanzania haiwezi kufikia umeme huo unaotajwa, huo ni 20 times threshold ya SA, uliopo sasa haupo stable unakatikatika kila wakati. Kwanini hamsemi ukweli. Kwa culture hii ya kutekana mtapata wawekezaji wa ovyo labda watoke China, Vietnam na Turkey waliozoea mambo ya kutoheshimu haki za binadamu, na hao wawili wa mwanzo watawafanyisha kazi kama punda. Hawawajali ninyi waafrica.
Nakubaliana na Wewe
 
Safi sana ,Hiyo mipango unayoizungumzia Iko wapi, Unaweza kushare hapa?
CCM ndio CCM tu
Hivi mkoje?

Una quote post ambayo nimeweka link mbili kama msingi wa hoja zangu.

Links ambazo apparently ujazifungua, maana moja wapo ukifungua tu unakutana na muhtsari ufuatao.

IMG_7684.jpeg



Na hiyo report ☝️link husika ilikuwepo.

Ungefungua link ungeona TANESCO/Serikali imeelezea long term objective zao.

Una quote kitu ambacho mchangiaji kakupa info kujenga Halafu tena unaniuliza hiyo mipango waliyoweka hiko wapi.

🫣🫣🫣
 
Kumbe kafulila hapa alikuwa anadalilia kwa Adan, jamaa mshezi sana
 
Kafulila anachofanya ni kujitangaza yeye unakuta kuna kitu mfano halmashauri au Shirika linapanga kuingia ubia wako tu kwenye mazungumzo wao kama wao yeye huyo huibuka na mada upesi Jamii forums kuelezea hiyo PPP wakati mara ingine hata mazunguzo hayajafikia mwisho anaropoka vitu ambavyo viko katika hatu za mwanzo tu ili mradi aonekane utafikiri yeyre ndie mhusika

Ni attention seeker

Kwa wataalamu wa saikolojia ni kuwa haridhiki na hiyo nafasi anataka kuonekana onekana sana kwa makele mitandaoni kuwa jamani nipo mbona mumenisahau sana huku PPP?

Ingekuwa pazuri sana ungekuta yuko kimya anakula kuku kwa Mrija
Anapenda attention hata kwa vitu visvyo vyake kabisa
Kwanini na wewe usiwe seeker?
 
Katika waongo wabobezi Kafulila yumo

Hivi sisi tawaweza jenga uchumi.mkubwa mara mbili kuliko wa Africa ya kusini kuhitaji umeme mara mbili ya wa Afrika ya kusini?

Uchumi wa Africa kusini ndio mkubwa kwa bara zima la Africa ns sababu uchumi wao ni wa viwanda vikubwa na wamiliki wa hivyo viwanda vikubwa ni wazungu sio waafrika

Makampuni kibao ya ulaya na marekani wana partnerships ns wazungu wa Africa ya kusini na ku export sana Ulaya na Marekani nk

Sisi hapa tuna uchumi gani wa kuizidi Africa kusini ? Huu wa kutegemea viwanda vya Sido vya wahindi,waarabu na wachina? Hadi tuhitaji umeme mara mbili ya wa kwao

Kafulila kaamua kuwa dalali kwa kujenga hata hoja zisizo na akili kabisa
Hizo mw elfu 4 zimewatoa kijasho sasa itakuwa hiyo 60.
 
Porojo tu hizo miaka 25 ijayo kwani Africa kusini watakuwa hapohapo walipo leo?

Anachukua takwimu Africa kusini za sasa na kuzifanya static kuwa miaka 25 ijayo watakuwa hapohapo halafu sisi tutawazidi mara mbili

Ujinga mtupu hajui hata kutafsiri takwimu

Alitakiwa kuangalia sisi miaka 25 ijayo kiumeme tutakuwaje na Africa kusini miaka 25 ijayo kiumeme watakuwaje ndipo atoe conclusion

Kaandika ujinga mtupu hajaeleza miaka 25 ijayo Africa kusini itakuwaje kwa population inayohitaji umeme kuongezeka na viwanda kuongezeka wao kiumeme watakuwa vipi compared to Tanzania
Wewe huwa ni sifuri kabisa I know you CHADEMA
 
Back
Top Bottom