Rula ya Mafisadi
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 404
- 852
Safi sana ,Hiyo mipango unayoizungumzia Iko wapi, Unaweza kushare hapa?![]()
Climate and Energy Benchmark - Electric Utilities Benchmark
www.worldbenchmarkingalliance.org
Shida zaidi ni hao media wenyewe nchi ina energy plan, ambayo ni ya hovyo kwenye finance tu.
Yaani wana mipango ya projects za kuanza utekelezaji miaka mitano baadae na estimated costs, udhani kama wana inflation adjustments.
Worst katika hiyo mipango yao hakuna sehemu inayozungumzia industry structure to attain that goal.
Anachoongea Kafulila na strategic panning ya serikali ni vitu tofauti,
Mambo kama haya ni possible kwenye ‘banana republic’ kama Tanzania.
CCM ndio CCM tu