Kafulila: Hata Ulaya ilijengwa kwa Mikopo toka Marekani Marshall Plan si dhambi kukopa ili kujenga miradi ya maendeleo kama SGR au JNHP

Unaakili sana inabidi CCM tukupe hata UDC utusaidie
 
Off course we do not have all the details. Lakini circumstantial evidence zinaonyesha kuwa tunakopa hovyo ovyo. Hiyo alituthibitishia Ndugai ..... na diyo sababu alipigwa kumbo kubwa na la haraka.
Uzuri wa hii Mikopo tukikopa kwenye matumizi pia tunasimamiwa.

Naamini hakuna sehemu hii Mikopo inavuja
 
Mheshimiwa Kafulila ni kiongozi Mwenye uwezo mkubwa sana wakiuongozi,kujenga hoja, kutetea hoja,kushawishi kwa hoja na kumfanya mtu akamuelewa kwa urahisi na kwa lugha rahisi kabisa.
[emoji16][emoji16][emoji16] kabisa mku wangu kazi tunaiyona.
 
Unajua Marshall plan kwanza? Stup!d
Marshal plan iliyojenga Ulaya Hali yao ya tekelinalokujia ilikuwa kama ya kwetu kwamba huo ubia utatutoa huko. Tulikuwa na KADCO, Alliance Air, Mkataba wa SA na ATC , RITES , Iptl, Richmond, nk je ilitutoa huko.
Nyerere alisema tuna hitaji watu sio wezi ndio tunaweza kutoka hapa tulipo.
Siasa Safi sio hii ya kuuuza uza vitu, ndio maana Leo hii wazaramo hawapo darisalam yao. Tabia ya kusaini mikataba ya hovyo hovyo haitatupeleka kokote, na Maendeleo sio maneno. Sasa hivi kuna hela zimelala kwenye JNHEP hazizalishi, SGR ya vipande vipande, TAZARA. Kuna vitu vya miradi vinatakiwa kufanywa na Tumebya Mipango au wachumi kama hatuna tume ya Mipango na na ikifikia kuweka mikataba iwekwe na wanasheria sio yeye au wanasiasa .
 
Unamawazo mazuri sana lakini namna anavyoyawakiliasha ndio Tatizo,

Hebu njoo na ushauri Kwa Serikali Kwa mawazo yako haya naona unakitu unajua na kitaifaa Serikali
 
Tukiacha wivu wa kibinadamu Kafulila ni miongoni mwahazina kubwa za Taifa hili, VIJANA kama hawa wanahitaji kutunzwa na kuandaliwa kwaaji ya baadae
 
Nadhani ni vema ungeishambulia hoja yake kuliko kumshambulia Kafulila,

Kafulila amesema kukopa kwa malengo hasa ya miradi ya Maendeleo ni jambo jema,

Sasa kama. unahoja kinzani ulifaa kuiwasilisha ila sio kumshambulia mleta mada huo ni Ushamba.
kama huoni hoja nilizoweka hapo, basi uwezo wako wa kufikiri ni mdogo.
Na mwambie huyo rafiki yako, akiacha kuweka uchawa ndani ya kazi zake hatasikia tukizungumzia hilo la uchawa.
Na kama bado huelewi, utakuwa mgumu sana wa kuelewa.
 
kama huoni hoja nilizoweka hapo, basi uwezo wako wa kufikiri ni mdogo.
Na mwambie huyo rafiki yako, akiacha kuweka uchawa ndani ya kazi zake hatasikia tukizungumzia hilo la uchawa.
Na kama bado huelewi, utakuwa mgumu sana wa kuelewa.
Mkuu Kalamu salama,

Nikweli Ndg zako wanagombania pesa za Abdul?

Tunasikia uhasama ni mkubwa Kila mtu anataka kuwa karibu na Abdul.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…