Kafulila: Hata Ulaya ilijengwa kwa Mikopo toka Marekani Marshall Plan si dhambi kukopa ili kujenga miradi ya maendeleo kama SGR au JNHP

Nadhani ungejielekeza kwenye hoja za Kafulila badala ya kum-attack personally, low thinking capaciry
 
Rejea kitu kinaitwa Good practice,
 
Nadhani ungejielekeza kwenye hoja za Kafulila badala ya kum-attack personally, low thinking capaciry
Tatizo hawa vijana wa Lissu hawana hoja zaidi ya matusi na personal Attacking ni kweli😆😆😆😆
Kafulila is smart as ever kumuattack yeye badala ya hoja ni kuonesha ushahidi kuwa vijana wengi tuko emotional sana.
 
Tatizo Watanzania wanaona Kila mkopo ni Mkopo mbaya hasa kama ile Mikopo aliyokopa jiwe wakati wa uhai wake,

Mama Samia yeye anakopa Soft loan tu,

Lazima tukope ili kujenga miradi yenu kwani marejesho naamini yatafanywa na miradi yenyewe.

===
 
Hizo ni Hadithi za kale inamaana CCM wametoka nje ya mpango wa big results now 2025
 
Tatizo Watanzania wanaona Kila mkopo ni Mkopo mbaya hasa kama ile Mikopo aliyokopa jiwe wakati wa uhai wake,

Mama Samia yeye anakopa Soft loan tu,

Lazima tukope ili kujenga miradi yenu kwani marejesho naamini yatafanywa na miradi yenyewe.

===
Nadhani Serikali ijielekeze kwenye Elimu zaidi ya namna Mikopo yetu itakavyotunufaisha,
Wapinzani wengi hawajui hata Mikopo yenyewe Wala masharti ya Mikopo hiyo ila wanachofanya ni kuwatisha Wananchi.
 
Kafulila amesema si kosa nchi kukopa kwaajili ya miradi ya maendeleo ila ni dhambi kukopa ili kugharamia mishahara na mambo mengine yasiyo ya kimaendeleo ( matumizi ya kawaida )

Point iko hapa.
Ukweli Mimi ni mpinzani ila Kafulila namwelewa sana aise
 
Big results si hii unaiona Sasa,
SGR,
SG,
SHULE
ZAHANATI
HOSPITALI
AMBULANCE
Na huu mpango wa Kafulila unaitwaje au Ndiyo wa kubadlisha GIA angani naona ana mipango mingi nimemsikia pia kwenye ule wa DART eti wametafuta muwekezaji, yaani badala ya ustadi wakubadili fikra za kukabiliana na changotmoto wanatafuta watu wapya kwa maneno mengine wanaahirisha kufikiri kutegemea watu wengine wafikiri kwa niaba yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…