Kafulila hukuwekeza kama wenzako akina Ally Happi utakuwa mpiga tarumbeta hadi lini? Unazeeka sasa!

Mwache aendekeze uchawa umri nao unasonga mbele.
Huenda kuna wapambe wamemshauri kuwa Mama SSH ukimsifia mara kwa mara 'atakukumbuka'😀
Ndio maana hata akiwa RAS ata comment on politics 😂

Akiwa RC ata comment on politics

Akiwa hana nafasi yoyote ata comment politics.
Huyu ndio mwanasiasa David Kafulila
 
Tumezidi kufuatilia mambo ya watu
 
Alifika Simiyu ndani ya wiki1 akakuta kampuni ya kimataifa ya CHICCO imejenga Barabara ya 75bn lkn chini ya kiwango na inataka kukabidhi , akairudisha ianze upya. Mmesikia wapi kitu kama tena? Na kabla yake kulikuwa na RC😎

This man ni Patriotic kwelikweli
 
Aliwekeza kumfundisha Kishoa kuigiza saini za viongozi wa Chadema ili waingie bungeni.
Sasa na Kishoa ubunge una karibia mwisho
 
Kwani hii tweeter inatumia muda gani kuandika kiasi ambacho kutamfanya Kafulila asifanye kazi?
 

Kafulila anaonesha rangi zake halisi
 

Kafulila wa Sasa sio yule wa zamani. Was Sasa ni mlamba miguu ya mfalme. Hawezi kuibua ufisadi wa serikali maana amejaa madlahi. Ndio maana namshauri arudi CHADEMA alikotokea kwenda CCM .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…