TrioNeTwork
JF-Expert Member
- Aug 7, 2022
- 444
- 382
Mwanasiasa hawezi kusema anafanya maisha yake na kwamba hataki kushiriki/ comment on national agenda.Maneno matupu hayasaidii taifa isiwe faller
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanasiasa hawezi kusema anafanya maisha yake na kwamba hataki kushiriki/ comment on national agenda.Maneno matupu hayasaidii taifa isiwe faller
Ndio maana hata akiwa RAS ata comment on politics 😂Mwache aendekeze uchawa umri nao unasonga mbele.
Huenda kuna wapambe wamemshauri kuwa Mama SSH ukimsifia mara kwa mara 'atakukumbuka'😀
Tumezidi kufuatilia mambo ya watuWenzako akina Happi wamewekeza kwenye kilimo na wanaajiri watanzania ili kuunyanyua Uchumi wa Nchi
Wewe David aka naniliu bado unadanda danda tu kwenye miti kutafuta mapera, unazeeka bwashee tumia akiba uliyojiwekea kwenye Ubunge, URAS na URC kufanya uwekezaji
Alhamis Ubarikiwe sana!
Alifika Simiyu ndani ya wiki1 akakuta kampuni ya kimataifa ya CHICCO imejenga Barabara ya 75bn lkn chini ya kiwango na inataka kukabidhi , akairudisha ianze upya. Mmesikia wapi kitu kama tena? Na kabla yake kulikuwa na RC😎Wenzako akina Happi wamewekeza kwenye kilimo na wanaajiri watanzania ili kuunyanyua Uchumi wa Nchi
Wewe David aka naniliu bado unadanda danda tu kwenye miti kutafuta mapera, unazeeka bwashee tumia akiba uliyojiwekea kwenye Ubunge, URAS na URC kufanya uwekezaji
Alhamis Ubarikiwe sana!
Aliwekeza kumfundisha Kishoa kuigiza saini za viongozi wa Chadema ili waingie bungeni.Wenzako akina Happi wamewekeza kwenye kilimo na wanaajiri watanzania ili kuunyanyua Uchumi wa Nchi
Wewe David aka naniliu bado unadanda danda tu kwenye miti kutafuta mapera, unazeeka bwashee tumia akiba uliyojiwekea kwenye Ubunge, URAS na URC kufanya uwekezaji
Alhamis Ubarikiwe sana!
Sasa mambo ya Ubunge tenaAliwekeza kumfundisha Kishoa kuigiza saini za viongozi wa Chadema ili waingie bungeni.
Sasa na Kishoa ubunge una karibia mwisho
Kaiba nini?Huyo mjinga Sana
Hana uzalendo wowote huyo Ni Mwizi tu ilikuaje akakaa upande wa Magufuli the tyrant
Kwani hii tweeter inatumia muda gani kuandika kiasi ambacho kutamfanya Kafulila asifanye kazi?Wenzako akina Happi wamewekeza kwenye kilimo na wanaajiri watanzania ili kuunyanyua Uchumi wa Nchi
Wewe David aka naniliu bado unadanda danda tu kwenye miti kutafuta mapera, unazeeka bwashee tumia akiba uliyojiwekea kwenye Ubunge, URAS na URC kufanya uwekezaji
Alhamis Ubarikiwe sana!
Wenzako akina Happi wamewekeza kwenye kilimo na wanaajiri watanzania ili kuunyanyua Uchumi wa Nchi
Wewe David aka naniliu bado unadanda danda tu kwenye miti kutafuta mapera, unazeeka bwashee tumia akiba uliyojiwekea kwenye Ubunge, URAS na URC kufanya uwekezaji
Alhamis Ubarikiwe sana!
Rangi gani hizo?Kafulila anaonesha rangi zake halisi
MNATAMANI SANA RAIS SAMIA ASIWE NA WAKUMSEMEA
Rangi gani hizo?
Kaiba nini?
Wanaosaidia tiafa hawakosi Madaraka,basi angepewa ata Ubunge wa kuteuliwa kama Bashiru.Ukiona hajapewa ujue hana msaada!Kafulila anasaidia Taifa na Wala sio mtu au kundi kama unavyoandika
Bashiru na yeye Ni Mwizi tuWanaosaidia tiafa hawakosi Madaraka,basi angepewa ata Ubunge wa kuteuliwa kama Bashiru.Ukiona hajapewa ujue hana msaada!
Kafulila ni inborn politician. Akiwa opposition na hata ccm. He is a political animal in nature. Mbunge+ RAS+ RC. hawezi kuacha kushiriki siasa kwasababu amezaliwa mwanasiasa.. na siasa sio maisha kwake bali platform ndio maana aliweza kuacha nafasi ya RAS kwenda kugombea ubunge akijua kabisa maslahi ya RAS ni makubwa na ya kudumu
View attachment 2419182