Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
CcKwani gesi haijashuka bei? Huoni Wananchi wanafurahia majiko ya bei ya ruzuku ?
Lucas Mwashambwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CcKwani gesi haijashuka bei? Huoni Wananchi wanafurahia majiko ya bei ya ruzuku ?
Actual jibu huwezi pata ila projection utapata.Sawa!
Je. (Net Present Value) , Thamani ya fedha hiyo ya wakati huo ujao itakuwa sawa na thamani ya shilingi ngapi kwa sasa?
Mawazo ya watu wenye umaskini wa fikra.Ukishindwa kupanga huwezi fanya kitu.Matapeli hao, watu hawajui hata kesho yao watakula nini wao wanazungumzia 25 yrs to come
Kwanza swala la mfumuko wa bei inategemea na sera za Nchi husika na usikariri.Kuna kitu kinaitwa inflation, Mwaka 2050 hii elf 10 nyekundu itakuwa ya kununulia pipi
Mwaka 2000 nauli ya daladala ilikuwa shilingi 10, chipsi yai shilingi 100
Leo hii 2024 shilingi 100 utanunulia pipi mbili tu
Mnatufanya mafala sana mln 12 kwa mwaka mbona ndogo sana tena 2050View attachment 3179123
Mkurugenzi Mkuu wa kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila ameandika haya katika ukurasa wake wa X zamani tweeter,
Kafulila akiifafanua Dira ya Maendeleo ya Taifa la Tanzània ya 2025- 2050 amesema yafuatayo,
1. Kafulila amewataka Watanzania wafahamu kuwa chini ya CCM hii na ifikapo mwaka 2050 Uchumi wa nchi yao utakua kwa Kasi na kufikia $700bn sawa na TZS 1,750 Trilioni.
2. Kafulila amewataka pia Watanzania watambue kuwa chini ya CCM hii Pato lao la mwaka litakuwa na kufikia kati ya $4,500 na $8,000 kwa mwaka yaani hapa karibu kila mtu itakuwa ni kula bata tu Cha msingi tuombe Uzima tu.
3. Kafulila amewataka Watanzania wafahamu yakuwa chini ya CCM hii vipato vyao na Pato la Taifa lao vitaongezeka kwa karibu mara tisa (9) zaidi hii hakuna nchi yoyote itaweza ila Tanzània na Watanzania.
4. Kafulila amewataka pia Watanzania wafahamu kuwa Uchumi wao kwa Sasa ni $80bn lakini chini ya CCM hii na kwa Miaka 25 ijayo utaongezeka kwa Kasi karibu mara 9 zaidi na kufikia 700bn na kuifanya Tanzania kuwa miongoni mwa nchi Tajiri zaidi Africa na hii ni chini ya CCM.
5. Kila Mtanzania na afahamu ukuaji huu mkubwa wa maajabu wa Uchumi wa Tanzania na wa mtu mmoja mmoja ni chini ya CCM tu na wala sio vinginevyo.
Kweli tuombe Uzima tu ila naona kama mnatipiga kamba tuSawa itakuwa kwa thamani ya Sasa, Mtakula bata sana
Hapa anazungumziwa yule Mtanzania wa chini kabisa lazima uelewe ambae Leo kwa siku hata buku hakamatiHata kama kipato cha mtanzania kitakuwa kati ya milioni 12-20 ifikapo mwaka 2050, bado kinaweza kuonekana kuwa ni umaskini kwa wakati huo. Hii ni kwa sababu ya kupungua kwa dhamani ya pesa kutokana na mfumuko wa bei na gharama za maisha kupanda na mabadiliko mengine ya kiuchumi.
Hii hela yeye Kafulila na matapeli wenzake haimtoshi kwa mwezi tena ni 2024 baada ya miaka 26 itakuwa na thamani gani?Mnatufanya mafala sana mln 12 kwa mwaka mbona ndogo sana tena 2050
Kakosea Nini Kafulila?Ukimsikiliza Kafulila ndiyo utajua hii nchi kazi yake ni kuzalisha vichaa
Tena ni kamba za kijinga snKweli tuombe Uzima tu ila naona kama mnatipiga kamba tu
We kwa akili yako milioni 12 kwa mwaka tena 2050 petrol itakuwa inauzwa shs ngapi na sukari?Kakosea Nini Kafulila?
Thamani ya Shilingi yetu inapanda kila kukicha wewe omba uhai tuHii hela yeye Kafulila na matapeli wenzake haimtoshi kwa mwezi tena ni 2024 baada ya miaka 26 itakuwa na thamani gani?
Je, bidhaa na huduma zitabaki kuwa na bei ya leo?!!View attachment 3179123
Mkurugenzi Mkuu wa kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila ameandika haya katika ukurasa wake wa X zamani tweeter,
Kafulila akiifafanua Dira ya Maendeleo ya Taifa la Tanzània ya 2025- 2050 amesema yafuatayo,
1. Kafulila amewataka Watanzania wafahamu kuwa chini ya CCM hii na ifikapo mwaka 2050 Uchumi wa nchi yao utakua kwa Kasi na kufikia $700bn sawa na TZS 1,750 Trilioni.
2. Kafulila amewataka pia Watanzania watambue kuwa chini ya CCM hii Pato lao la mwaka litakuwa na kufikia kati ya $4,500 na $8,000 kwa mwaka yaani hapa karibu kila mtu itakuwa ni kula bata tu Cha msingi tuombe Uzima tu.
3. Kafulila amewataka Watanzania wafahamu yakuwa chini ya CCM hii vipato vyao na Pato la Taifa lao vitaongezeka kwa karibu mara tisa (9) zaidi hii hakuna nchi yoyote itaweza ila Tanzània na Watanzania.
4. Kafulila amewataka pia Watanzania wafahamu kuwa Uchumi wao kwa Sasa ni $80bn lakini chini ya CCM hii na kwa Miaka 25 ijayo utaongezeka kwa Kasi karibu mara 9 zaidi na kufikia 700bn na kuifanya Tanzania kuwa miongoni mwa nchi Tajiri zaidi Africa na hii ni chini ya CCM.
5. Kila Mtanzania na afahamu ukuaji huu mkubwa wa maajabu wa Uchumi wa Tanzania na wa mtu mmoja mmoja ni chini ya CCM tu na wala sio vinginevyo.
Tutakuwa tunatumia gesi yetu ya LNG kuwa makini KAMANDAWe kwa akili yako milioni 12 kwa mwaka tena 2050 petrol itakuwa inauzwa shs ngapi na sukari?
Sina cha kuomba, tuambie petrol, sukari, cement, bati n.k itakuwa inauzwa shs? acheni hadithi za kijinga nyieThamani ya Shilingi yetu inapanda kila kukicha wewe omba uhai tu
Hapana lakini Kwakuwa mnyumbuliko wa Pato la kila mtu mmoja mmoja ni mkubwa na kuimarika kwa Shilingi ya Tanzania hiyo ni pesa nyingi sana tuzidishe tu kuomba uhai yajayo yanafurahishaJe, bidhaa na huduma zitabaki kuwa na bei ya leo?!!
Hiyo gas utaitoa wapi?Tutakuwa tunatumia gesi yetu ya LNG kuwa makini KAMANDA