Kafulila: Kwa miaka mitatu Rais Samia amekopa nje TZS 12.5T sawa US$ 5BL lakini amelizalishia Taifa TZS 47.5T sawa na US$19BL

Kafulila akizungumza unamwelewa kirahisi sana,

Kafulila anatoa mifano rahisi ßana

Kafulila Hakika ni haxina kwa Taifa hili
Naona unamtetea bahasha wako kafulila ili akununulie mawigi au sio
 
Machawa at their best, mbona hali ya wananchi aibadilike.

Hoja yako ni ipi!?

Rudia kusoma kilichoandikwa uelewe na uje na hoja

"Rais Samia amekopa nje TZS 12.5T sawa US$ 5BL lakini amelizalishia Taifa TZS 47.5T sawa na US$19BL"​

lakini amelizalishia Taifa
Angalieni lugha zenu vijana hii misamiati mingine muwe mnaisema kwa makini

Mwingine amekomalia Oh Mama anaupiga mwingi, nikamuuliza una kawaida ya kuchungulia chumbani akiwa na Baba yako?
 
Hesabu zinakataa. Kuongezeka 19 usd bln kwa miaka mitatu kutoka 66bln maana yake ni ongezeko la asilimia 28. Inamaana uchumi wetu ulikuwa unakuwa kwa wastani wa asilimia kama 9 kwa mwaka!!? Mbona walikuwa wanaleta figures za ukuaji wa 5 percent?
 
Hoja yako ni ipi!?

Rudia kusoma kilichoandikwa uelewe na uje na hoja

"Rais Samia amekopa nje TZS 12.5T sawa US$ 5BL lakini amelizalishia Taifa TZS 47.5T sawa na US$19BL"​

Yes Mama D,
 
Hesabu zinakataa. Kuongezeka 19 usd bln kwa miaka mitatu kutoka 66bln maana yake ni ongezeko la asilimia 28. Inamaana uchumi wetu ulikuwa unakuwa kwa wastani wa asilimia kama 9 kwa mwaka!!? Mbona walikuwa wanaleta figures za ukuaji wa 5 percent?
Kati kati ya huo ukuaji Kuna deni pia
 
Angalieni lugha zenu vijana hii misamiati mingine muwe mnaisema kwa makini

Mwingine amekomalia Oh Mama anaupiga mwingi, nikamuuliza una kawaida ya kuchungulia chumbani akiwa na Baba yako?
Lugha iko sawia kabisa hiyo
 
Back
Top Bottom