Uongo upi hapo ndg yangu?Correction, hauwezi kushtakiwa ukisifia, hata kama ni uongo
Dollar 1 ni Sawa na shillings ngapi leo?Uchumi wa Tanzania
Jibu swali hapo juu alafu njoo tuendeleeUongo upi hapo ndg yangu?
Ni kama amefafanua vizuri sana
Ni kama ametufundisha vizuri sana
Naona unamtetea bahasha wako kafulila ili akununulie mawigi au sioKafulila akizungumza unamwelewa kirahisi sana,
Kafulila anatoa mifano rahisi ßana
Kafulila Hakika ni haxina kwa Taifa hili
2,500Dollar 1 ni Sawa na shillings ngapi leo?
Nini kimekuchanganya hapo?Naona unamtetea bahasha wako kafulila ili akununulie mawigi au sio
Ilikua 2,300 Karume kaongezeka2,500
Angalieni lugha zenu vijana hii misamiati mingine muwe mnaisema kwa makinilakini amelizalishia Taifa
Yes Mama D,Hoja yako ni ipi!?
Rudia kusoma kilichoandikwa uelewe na uje na hoja
"Rais Samia amekopa nje TZS 12.5T sawa US$ 5BL lakini amelizalishia Taifa TZS 47.5T sawa na US$19BL"
Kati kati ya huo ukuaji Kuna deni piaHesabu zinakataa. Kuongezeka 19 usd bln kwa miaka mitatu kutoka 66bln maana yake ni ongezeko la asilimia 28. Inamaana uchumi wetu ulikuwa unakuwa kwa wastani wa asilimia kama 9 kwa mwaka!!? Mbona walikuwa wanaleta figures za ukuaji wa 5 percent?
Lugha iko sawia kabisa hiyoAngalieni lugha zenu vijana hii misamiati mingine muwe mnaisema kwa makini
Mwingine amekomalia Oh Mama anaupiga mwingi, nikamuuliza una kawaida ya kuchungulia chumbani akiwa na Baba yako?
KivipiLugha iko sawia kabisa hiyo
Hakuna Rais anasifia dunia kama huyu mama lakini hali za wananchi ni mbaya kupita kiasiMachawa at their best, mbona hali ya wananchi aibadilike.
Fanya kazi acha maenomano we BAVICHAHakuna Rais anasifia dunia kama huyu mama lakini hali za wananchi ni mbaya kupita kiasi
Kulizalishia Taifa inautata wapi?Kivipi
Nashukuru UWT mnajitahidi sn kumsaidia mazaFanya kazi acha maenomano we BAVICHA
Wewe unaelewa maana au unauliza maana?Kulizalishia Taifa inautata wapi?