Kafulila: Kwa miaka mitatu Rais Samia amekopa nje TZS 12.5T sawa US$ 5BL lakini amelizalishia Taifa TZS 47.5T sawa na US$19BL

Kafulila: Kwa miaka mitatu Rais Samia amekopa nje TZS 12.5T sawa US$ 5BL lakini amelizalishia Taifa TZS 47.5T sawa na US$19BL

Hizo.zilizozalishwa si zikalipe deni?
Deni linaendelea kukua badala ya kupungua huyo TUMBILI anatuletea ujinga wake
Hi nchi itakuja kuuzwa tu manake madeni hayapunguo.
Nchi inaendeshwa Kwa mikopo lakini viongozi wanaishi maisha ya anasa Kwa fedha za hiyo mikopo
 
Huyo tumbili akili zake kaziacha mtini hapo anaropoka tu ili aonekane apate ulaji zaidi.
 
..kama Maza ana mapesa yote hayo kwanini halipi deni lote ili nchi isidaiwe?

..au kwanini asitusamehe kodi na tozo walau mwaka mmoja?

..nadhani Kafulila ana data lakini hajui kutafsiri kinachoelezwa ktk data.

Hebu tusaidie wewe kutafsiri kinachoendelea katika hizo data
 
Kamishina wa PPP Mhe David Kafulila anasema "Wakati Rais Samia anaingia madarakani Uchumi wa Tanzania ulikuwa US$ 66BL Leo ni US$ 85BL sawa na ongezeko la US$19 wakati deni la nje ni US$ 5BL tu.

View attachment 2945755
Ukitaka kula lazima uliwe.Hongera sana Samia.

Uchumi Sasa hivi umetoka kuwa GDP ya 67nln Hadi 85 bln.

Haters endeleeni kuandika pumba ila hizo takwimu hamuwezi kuzifuta ndio ameshaweka alama kubwa hivyo.
 
Back
Top Bottom