evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,035
- 8,218
Uko sahihi kabisa crdeTanzania inapiga hatua sana ,
Kutoka uchumi wa $66bl
Mpaka uchumi wa $85bl ni hatua kubwa sana
Nia yako ni ipi hapo?
Jibu hoja zake sasaHuyo tumbili akili zake kaziacha mtini hapo anaropoka tu ili aonekane apate ulaji zaidi.
Hakuna hoja hapo kuna Viroja.Jibu hoja zake sasa
..kama Maza ana mapesa yote hayo kwanini halipi deni lote ili nchi isidaiwe?
..au kwanini asitusamehe kodi na tozo walau mwaka mmoja?
..nadhani Kafulila ana data lakini hajui kutafsiri kinachoelezwa ktk data.
Hebu tusaidie wewe kutafsiri kinachoendelea katika hizo data
Kamishina wa PPP Mhe David Kafulila anasema "Wakati Rais Samia anaingia madarakani Uchumi wa Tanzania ulikuwa US$ 66BL Leo ni US$ 85BL sawa na ongezeko la US$19 wakati deni la nje ni US$ 5BL tu.
View attachment 2945755
Ukitaka kula lazima uliwe.Hongera sana Samia.Kamishina wa PPP Mhe David Kafulila anasema "Wakati Rais Samia anaingia madarakani Uchumi wa Tanzania ulikuwa US$ 66BL Leo ni US$ 85BL sawa na ongezeko la US$19 wakati deni la nje ni US$ 5BL tu.
View attachment 2945755
Samia sio punguani kama wale wengine waliokulia kwenye mifugo.Ukiwa chawa lazima ujitoe akili. Tuwasubiri machawa MamaSamia2025 na ChoiceVariable waje kuleta uchawa wao nao
Ndugu unakosea sana kuniita chawa. Ungeweza kunitag bila kashfa na ningejibu hoja yako. Ila kwa sababu umeamua kuuweka upumbavu wako hadharani naona hakuna haja ya kukujibu. Baki na upumbavu wako.Ukiwa chawa lazima ujitoe akili. Tuwasubiri machawa MamaSamia2025 na ChoiceVariable waje kuleta uchawa wao nao
Uko vizuriHakuna shida kabisa
Radical change au metamorphosis? Kutoka tumbili hadi kuwa chawa!??Kamishina wa PPP Mhe David Kafulila anasema "Wakati Rais Samia anaingia madarakani Uchumi wa Tanzania ulikuwa US$ 66BL Leo ni US$ 85BL sawa na ongezeko la US$19 wakati deni la nje ni US$ 5BL tu.
View attachment 2945755
#Songa na SamiaKamishina wa PPP Mhe David Kafulila anasema "Wakati Rais Samia anaingia madarakani Uchumi wa Tanzania ulikuwa US$ 66BL Leo ni US$ 85BL sawa na ongezeko la US$19 wakati deni la nje ni US$ 5BL tu.
View attachment 2945755
Good done Kafulila, Wewe na Mama mnaupiga mwingi sanaa.Kamishina wa PPP Mhe David Kafulila anasema "Wakati Rais Samia anaingia madarakani Uchumi wa Tanzania ulikuwa US$ 66BL Leo ni US$ 85BL sawa na ongezeko la US$19 wakati deni la nje ni US$ 5BL tu.
View attachment 2945755