SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Wewe ndiyoo hujui anachotaka kwa vie level yako ya uelewa ni ya chini sana.Ni kwamba Tundu Lissu hajui anachotaka hasa ni nini hasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndiyoo hujui anachotaka kwa vie level yako ya uelewa ni ya chini sana.Ni kwamba Tundu Lissu hajui anachotaka hasa ni nini hasa
kama hujawahi kufundishwa na prof. huwezi kumwelewaLissu huyu huwa simwelewi kabisa
Wew niambie Lissu falsafa yake nini mpaka sasaWewe ndiyoo hujui anachotaka kwa vie level yako ya uelewa ni ya chini sana.
Haitakuwa na maana yoyote kwa vile unamuangalia Lissu kutoka angle hasi.Wew niambie Lissu falsafa yake nini mpaka sasa
Upo kwenye kundi la waelewa au wasioelewa?Mbona mmetaka ziwafukuza akina Halima mmegonga Mwamba?
Eti Mnataka Rais atoe maelekezo mahakamani hili halipo.
Mahakama zetu ni huru sana.