CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,621
- 5,029
- Thread starter
-
- #101
Kwani ufupi unazuia maono?David nadhan ana MKE Bora sana anayempa utulivu wa akiri ama ana MKE MSOMI na mtaalam wa BIASHARA au anasoma Sana. Asingekuwa MAFUPI Nadhani angeona mbali Sana kimaono....TUMPE MUDA.
Kaa utulie ujifunze kinachoendeleaKWELI NIMEAMINI MTU AKIHAMIA CCM WANAMNG'OA UBONGO, KILA K2 MNAUZA BADO KUJIUZA WENYEWE
👀Ngoja tuone kama itakuwa kama ninavyojua
Unauhakika na uñachokisema??!!Bakhressa kawekeza treni Uganda kwa ajili ya mizigo yake? Kawekeza au ni mteja?
Namaanisha anatumia treni kusafirisha mizigo yake?, mwekezaji yeye anafanya operations. Kuna kitu unachanganya maana ya kuwekeza na kuwa mteja, mfano mm ni natumia bandari ya dar kujngiza mizigo yangu hiyo haimaanishi mm ni mwekezaji wa bandari
Hata hivyo shirika la reli Uganda halina mwekezaji.
Hiyo treni ya utalii nadhani jiridhishe tena na hiyo taarifa, au naomba uniwekee hiyo taarifa nione. Maana SGR ni njia moja tu haiwezi treni hiyo unayosema kusimama hata masaa hayo manne kusubiri mtalii aliyeshuka kufanya utalii
Usipumbazwe na ratings za kina moody..wakati serikali ndio mtoaji wa takwimu, ndie amelipia zoezi lote wanalofanya..ratings wanazofanya ni sawa na taarifa za kihasibu za fedha (financial statements) kwa makampuni..zinaweza zisikupe picha halisivile zinategemea takwimu ulizonazo..usidanganyike ndugu!Pole kwa kuchelewa kukujibu nilikuwa busy kidogo.
Sasa iko hivi,
Kenya, Ghana na Tanzania zipo ligi moja kwenye viwango vya kimataifa kiuchumi.
Tena nashangaa kusikia mtu anaitaja Ghana kama mfano bora kiuchumi kulinganisha na Tanzania.
Kifupi Ghana inakabiliwa na matatizo makubwa kiuchumi kuliko Tanzania.
Ni moja ya mataifa yenye mgogoro mkubwa wa madeni. Hata Singapore ni special case ambayo huwezi kuifananisha sio tu na na Tanzania bali nchi yoyote ya Africa ,
Asia na hata Ulaya labda kwa mifano ya kukariri maana leo Singapore ni miongoni mwa nchi10 zenye maisha bora duniani. Imezipita nchi za ulaya zaidi ya 20 sembuse Tanzania.. kwaiyo kuihukumu Tanzania kwa ulinganisho wa Singapore ni kutofahamu vzr kwamba Singapore ni exceptiona case duniani.
Sasa unauliza eti taja mfano 1 tu wa PPP, haya ni maswali ya mtu asiejua maana ya PPP, au hajui kinachoendelea Serikalini.
Haya,
Mkataba wa Songas ni PPP, Mkataba wa TICS ulikuwa PPP, na hata mkataba wa sasa bandari na Adan ni PPP, Mkataba wa DPW ni PPP, TANESCO ina mikataba lukuki ya IPPP kwa kusaini PPA zote zile ni PPP.
kifupi IPP ni PPP. labda urudi shule kidogo utaelewa hili.
Siumesikia Juzi tu mamlaka ya DDC hapo Kariakoo imesaini mkataba wa PPP wa 37bn na kampuni ya TOSH kwa ujenzi na uendeshaji wa Business Complex.
Ukisema Tanzania imefeli kila sekta a wakati leo taasisi zinazofanya credit rating kama Moodys zinaipa daraja la juu kuliko nchi yoyote Afrika mashariki sijui unamaanisha hizo nchi zingine zina hali gani? World Economic Forum wanasema Tanzania inaongoza kwa uchumi jumuifu afrika kusini ya jangwa la sahara afu unasema hakuna inachokiweza.
Ni vema tusijadili kwa mizuka jukwaa la Great Thinker kama JF. Muhimu kujenga hoja kwa facts na reference na kama hujui unauliza badala ya kuhitimisha utadhan unajua. Maswali yote 5 nadhan hayana msingi baada ya hapa.
Nashauri,
Serikali awe ni mjengaji na msimamizi wa miundo mbinu uendeshaji waiachie sekta binafsi. Serikali ipate gawio la asilimia fulani kwa kila tiketi inayouzwa iwe ni mrabaha kwake kwa ajili ya monitoring and evaluation!
Hoja nzuri sana hiiNashauri,
Serikali awe ni mjengaji na msimamizi wa miundo mbinu uendeshaji waiachie sekta binafsi. Serikali ipate gawio la asilimia fulani kwa kila tiketi inayouzwa iwe ni mrabaha kwake kwa ajili ya monitoring and evaluation!
Kuhusu jambo Jambo gani? Go straightUnauhakika na uñachokisema??!!
kafulila kasema bakhressa ni mwekezaji wa reli Uganda? Au hujaelewa nilichojibu hapo?Tatizo hapa jf kila mtu ñi mjuaji Kafulila akishasema unapingaje Kwa mfano?
Ila alidisco udsm BBAKafulila ni mtu wa msaada sana kwa Taifa ila hajatumika ni brand new
Kwani kudisco ni kukosa umakini?Ila alidisco udsm BBA
Sasa utadisco vipi wakati una akili.Kwani kudisco ni kukosa umakini?
Lete huo ushahidi tuone his disco..
Wapi huko kasema?kafulila kasema bakhressa ni mwekezaji wa reli Uganda? Au hujaelewa nilichojibu hapo?
Tupe ushahidi, Tuliosoma tunaufahamu nyingi zinaweza zikamfanya mtu kudisco ikiwemo UgonjwaSasa utadisco vipi wakati una akili.
Alikamatwa courses tano akadisco aitomatically. Mi ni mwalimu hapa udbs.Tupe ushahidi, Tuliosoma tunaufahamu nyingi zinaweza zikamfanya mtu kudisco ikiwemo Ugonjwa
Lete tu ushahidi Mwalimu tukuaminiAlikamatwa courses tano akadisco aitomatically. Mi ni mwalimu hapa udbs.
Tena evening program..Ila alidisco udsm BBA
Tumia akili unapojibu, soma na uelewe. Ukishaona neno kafulila hata kusoma vizuri hutaki, tumia akili, naamini hata kafulila hapendi nyie muwe kama marobots hiviWapi huko kasema?
Tumia akili unapojibu, soma na uelewe. Ukishaona neno kafulila hata kusoma vizuri hutaki, tumia akili, naamini hata kafulila hapendi nyie muwe kama marobots hivi
Kuna mtu nilikua nabishana nae kuhusu bakhressa kuwekeza reli ya Uganda, huyo jamaa hapo ndio kaja kuniambia nisibishe Jambo ambalo kafulila kasema, ndio nikamuuliza kwani afulila kasema bakhressa kawekeza reli ya uganda