Taarifa za BOT ziko mkuuHivi mimi raia nikitaka kuhakiki hizo kauli reference nazipata wapi au inabidi tumuamini huyohuyo Kafulila
Ni wapi katika sentensi zangu nisema Thailand haina madeni? jibu hoja, kwa nini tunafurahia sana kukopa? yaani akinya tembo lazima na wewe unye, si ndio? Hii mikopo ina tofauti gani na kausha damu? tuna utaratibu gani wa kujikwamua kutoka katika madeni au kila siku ni kula vya watu. Kukopa harusi, kulipa matanga sio ndio maana yake au? siku hazigandi, ipo siku utasikia tumewekwa kwenye, "highly indebted countries" na kufika hapo sijui utasemaje....Ndio ,sio tuu ukope kufanya mamabo Yako Bali ni lazima kukopa na kukopesha Ili kuendesha uchumi.
Kwamba Thailand Haina Madeni ,Nchi ambayo Kila mwaka wanabadilisha Viongozi Kwa sababu ya Hali mbaya ya uchumi? Wacha kudanganywa ,weka facts hapa zinazosema Thailand Haina Madeni Ili twende sawa.
Mwisho kukopa sio lazima iwe Nje hata ndani lakini kukopa Ndani ni very risk Kwa sababu unapunguza mzunguko wa hela private sector n pia inaweza ongeza riba Kwa private sector
Ingia kwenye website ya BOT Kuna Mnada wa T-Bills na T-Bonds utapataHivi mimi raia nikitaka kuhakiki hizo kauli reference nazipata wapi au inabidi tumuamini huyohuyo Kafulila
Nimejibu hii ishu Yako mara nyingi na hii itakuwa mara ya mwishoNi wapi katika sentensi zangu nisema Thailand haina madeni? jibu hoja, kwa nini tunafurahia sana kukopa? yaani akinya tembo lazima na wewe unye, si ndio?
Kwani mikopo wanakopa Govement Bonds ( Treasury bonds na Bills) au ni zile za nje ya nchi. Nisaidie mambo ya nchi bila kupewa muongozo unaweza kujikuta unashangilia hewa.Ingia kwenye website ya BOT Kuna Mnada wa T-Bills na T-Bonds utapata
Huyu sasa anafaa kuwa boss wa mawasiliano hapo ikulu 😄Dah nachanganyikiwa mjukuu wangu
5-7% nadhani hoja ya Kafulila iko sahihi
Kwanini kwa hizo nchi nyingine ametumia data zenye viwango vya riba vya mwaka huu, wakati Tanzania ametumia vieango vya riba vya mwaka 2021? Tatizo nini? Kwanini Tanzania haitaki ku update takwimu zake?View attachment 3016052
CEO wa PPP Bwana David Kafulila katika Ukurasa wake wa tweeter ( X ) ameisifu Serikali ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuwa ndio nchi pekee inayokopa ndani kwa riba ndogo kuliko nchi nyingi za Africa.
Kafulila anasema Wakati Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan inakopa T-bills kwa asilimia 5 lakini wenzetu uchumi wao ndani ni hoi ndio sababu Riba zao kwenye T-bills ziko juu mafano Msumbiji ni asilimia 17 Kenya ni asilimia 16, Malawi ni Asilimia 16, Zambia ni Asilimia 10,Namibia ni asilimia 9,Uganda ni asilimia 9 na Africa ya kusini ni asilimia 8 hiki ni kielelezo Cha uimara wa Uchumi wetu ndani katika ukanda wa Africa.
Wakati mnaendelea kumtukana msisahau pia kuwaambia hao Wananchi kuwa ni yeye pekee ndio aliyejenga unafuu wa maisha kwa watu wake katika ukanda mzima wa Africa na baadhi ya ushahidi ni hizo taarifa za David Kafulila huko tweeter ( X )
View attachment 3016048
Kwa muktadha wa hoja ni mikopo ya ndani ya Nchi(bonds na bills) japo hata hizo inaweza kushikiliwa na Nchi za Nje au private sector ya Nje but Sina hakika kama sheria zimebadilishwa Kwa Sasa ila Kwa USA,China ndio anaongoza kushikiliwa hizo T bills za Marekani.Kwani mikopo wanakopa Govement Bonds ( Treasury bonds na Bills) au ni zile za nje ya nchi. Nisaidie mambo ya nchi bila kupewa muongozo unaweza kujikuta unashangilia hewa.
Kumbe maneno tuuuu🤣🤣Huyu sasa anafaa kuwa boss wa mawasiliano hapo ikulu 😄
Tantalilaa anaziweza
Ova
Hakuna mantiki yoyote ya kulinganisha riba wanazopewa wengine na riba anayopewa Tanzania au Tanganyika. Haijawahi kutokea kwenye elimu ya fedha popote. Hata hizo data za Kafulila hazina ushahidi wowote!View attachment 3016052
CEO wa PPP Bwana David Kafulila katika Ukurasa wake wa tweeter ( X ) ameisifu Serikali ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuwa ndio nchi pekee inayokopa ndani kwa riba ndogo kuliko nchi nyingi za Africa.
Kafulila anasema Wakati Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan inakopa T-bills kwa asilimia 5 lakini wenzetu uchumi wao ndani ni hoi ndio sababu Riba zao kwenye T-bills ziko juu mafano Msumbiji ni asilimia 17 Kenya ni asilimia 16, Malawi ni Asilimia 16, Zambia ni Asilimia 10,Namibia ni asilimia 9,Uganda ni asilimia 9 na Africa ya kusini ni asilimia 8 hiki ni kielelezo Cha uimara wa Uchumi wetu ndani katika ukanda wa Africa.
Wakati mnaendelea kumtukana msisahau pia kuwaambia hao Wananchi kuwa ni yeye pekee ndio aliyejenga unafuu wa maisha kwa watu wake katika ukanda mzima wa Africa na baadhi ya ushahidi ni hizo taarifa za David Kafulila huko tweeter ( X )
View attachment 3016048
Safi sana. Lakini hii Kafulila hawezi kuielewa!Ephen: Naomba unikopeshe laki 1, nitakurudishia wiki ijayo
Rafiki: kama unataka laki 1 riba ni 50% hivyo utanilipa 150,000
Ephen: Turahisishe mambo nipe laki 1, mimi nakupa Hati ya kiwanja cha familia yetu halafu wiki ijayo nakupa hela yako bila riba.
Rafiki: Sio kweli! Nachukua kiwanja na utanilipa riba ya 10%= 110,000
Ephen: Sawa! Asante kwa wema wako
Nilikiwa sijui. Sasa hizi takwimu za Mh tunazihakikia wapi ili tuungane kushangilia mafanikio ya mama kwa uelewaKwa muktadha wa hoja ni mikopo ya ndani ya Nchi(bonds na bills) japo hata hizo inaweza kushikiliwa na Nchi za Nje au private sector ya Nje but Sina hakika kama sheria zimebadilishwa Kwa Sasa ila Kwa USA,China ndio anaongoza kushikiliwa hizo T bills za Marekani.
Website ya BOTNilikiwa sijui. Sasa hizi takwimu za Mh tunazihakikia wapi ili tuungane kushangilia mafanikio ya mama kwa uelewa
Kumbe Kuna nchi zinazotamani kukopa kwa riba kubwa?Hakuna mantiki yoyote ya kulinganisha riba wanazopewa wengine na riba anayopewa Tanzania au Tanganyika. Haijawahi kutokea kwenye elimu ya fedha popote. Hata hizo data za Kafulila hazina ushahidi wowote!
Kwa maneno rahisi unaweza tu kulinganisha na uwezo wako wa kuzalisha ziada kutokana na mikopo ili uwe na uwezo wa kurudisha huo mkopo. Kama uwezo wako wa kuzalisha ziada ni 6% ukikopa kwa 9% kama Uganda maana yake uwezo wako wa kulipa kutokana na ziada ni mdogo kwa hiyo lazima ukimbilie kwenye riba ndogo.
Utajiri wa Bakhresa ulichangiwa kwa kiasi kikubwa kwa kupewa mali za Tanganyika bure na Rais Mwinyi wakati wa utawala wake. Mali hizo hizo ambazo shirika la umma la serikali lililoshindwa biashara ya kuuza mikate (ujinga au rushwa) alizopewa bure ndizo anatumia kama dhamana kuchukua mikopo.Sio Sifa ila hata familia yako kama unataka kuwa tajiri kuwazidi wengine lazima ukope, Bakresa pia analoan kibao kwenye mabenki
Tuwekee hapa tuone.Website ya BOT
Hili Mimi sikufahamu na sijui kama ni kweli lakini mwisho unakiri alikopa ndio maana Leo ni tajiriUtajiri wa Bakhresa ulichangiwa kwa kiasi kikubwa kwa kupewa mali za Tanganyika bure na Rais Mwinyi wakati wa utawala wake. Mali hizo hizo ambazo shirika la umma la serikali lililoshindwa biashara ya kuuza mikate (ujinga au rushwa) alizopewa bure ndizo anatumia kama dhamana kuchukua mikopo.
Ngoja niingie X, nisome kwanza fafanuzi zake. Mimi bhana huwa sipendi kushabikia mavitu unconciously.Website ya BOT