Kafulila: Tangu Rais Samia aingie madarakani Uchumi wa Tanzania umekuwa kwa kasi, ni zaidi ya Jumla ya ukuaji wa Uchumi wa nchi za Kenya na Uganda

Hakika hakuna kama Samia
 
Nice comment Kafulila
 
Ukuaji huu ni ukuaji upi?
Mbona Tanzania imeporomoka na kuingia katika orodha ya mataifa yenye umasikini komavu duniani tena ikishika nafasi ya 34!?
 
Ukuaji huu ni ukuaji upi?
Mbona Tanzania imeporomoka na kuingia katika orodha ya mataifa yenye umasikini komavu duniani tena ikishika nafasi ya 34!?
Lete hiyo source
 
Mungu mbariki sana Rais Samia na David Kafulila mfanyakazi wake
 
Mama mitano tena
 
Kama umevimbiwa na posho za MAMA SAMIA utasema tofauti na shibe kaka???

(WEWE KAFULILA ushammeza CHURA kumtapika huwezi) Usitupumbaze Hali ya uchumi ni mbaya Sana mtaani hasa kwa MTU mmoja mmoja.

Ila Ni kweli kwenu NINYI uchumi unakua kwa Wananchi uchumi huo mnasema unakua haupo kabisa.
 
Huyu kafulia mkumbuke katangatanga Sasa kakutana na mkate wadezo serikalini basi anasifu bila kutumia akili nikama babalevo tuu!
Unafiki wake ni wajuu na hutumika sana Toka akiwa NCCR,CHADEMA nasasa Ccm siajabu ndomana hata ndoa ikashindikana!!
Rollmodal wa wajinga na wavivu wasiofatilia mambo kwa kina wakiambiwa tuu wanalipuka nashangwe kizembe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…