Kafulila: Tangu Rais Samia aingie madarakani Uchumi wa Tanzania umekuwa kwa kasi, ni zaidi ya Jumla ya ukuaji wa Uchumi wa nchi za Kenya na Uganda

KAFULILA ajue hatuli wala hatushibi data za uongo Ni busara IPI inatumika kuuza Bandari zetu kwa waarabu huko ndio kukua kwa uchumi ama kushindwa kushindwa kuendesha shughuli za kukuza uchumi wa Nchi.

Ruhusuni katiba mpya YENYE meno ya kumkaba RAIS uone Kama baadhi yenu hatakimbia Nchi.

Pia wekeni wazi Nani Kati ya viongozi wetu ameweka Fedha kwenye akaunti za Nchi za nje,Tujionee miamala Yao inasomaje.
Mnakiburi kwa sababu kila kitu kinafanywa kwa Siri mpaka tujue Ni mzalendo kutuibia Siri za miakataba mibovu ya kinyonyaji.

MAJIZI MAKUBWA NYIE.
Hakuna marefu yasiyo Ncha Wala Hakuna jbo lisilo na mwisho.
Siku unakuja nayo inafanya haraka Sana kufika tutakuwa na katiba Mpya tu YENYE kulinda na kutetea maslahi ya Wananchi na Kulinda Rasilimali zetu.
 
Huu ni uongo tu ndg yangu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Lete ukweli uonao wewe.
Chombo hicho hicho ndicho kilichopima uchumi wa TZ kipindi cha miaka ninne nyuma na kuiweka low middle income country.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Lete ukweli uonao wewe.
Chombo hicho hicho ndicho kilichopima uchumi wa TZ kipindi cha miaka ninne nyuma na kuiweka low middle income country.
Uchumi wa Tanzania ni mzuri sana
 
Taarifa zinaonesha hivyo sio maneno yako
Na mimi nimeleta taarifa za chombo cha kimataifa zikionesha Tanzania imeporomoka kuingia katika orodha ya mataifa 35 masikini komavu duniani.
Je hapo vipi!?
Kapambane na WB na IMF huko ndio wanaandaa hizo ripoti.
 
Hawa ni wahuni tu wa vijiweni
 
Huyu kuitwa tumbili walipatia kabisa hivi ww tz ipite uganda na kenya kwa ujumla.Pumbavu zake kabisa mnapenda kutuona mazuzu ...Watu wa kigoma uchawa jamani unawapunguzia sifa hasa wanaume mmekua watu wa kupenda mteremko.
 
Kwani huoni hizo taarifa au data?
 
Vema sana hii
 
Samia ni Kiboko yao
 
Hongera sana Rais Samaia
 
Mama mitano tena
 
Huyu Mama kwa utendaji Yuko vizuri sana
 
Mama mitano tena endelea hivyo hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…