Kafulila: Tangu Rais Samia aingie madarakani Uchumi wa Tanzania umekuwa kwa kasi, ni zaidi ya Jumla ya ukuaji wa Uchumi wa nchi za Kenya na Uganda

Hakika hakuna kama Samia
 
Hivi huyu tumbili analipwa na nani kutuletea ujingaa na upumbavu kafulila tumbili ata kama umezaliwa familia masikini Huwezi kusaliti nchii kiasi hiki.jitafakali .
 
Hongereni IMF. Sijui mnatumia vigezo gani, hivyo sina haja ya kupinga.

Kwako Kafulila...nchi haiendeshwi kwa takwimu peke yake. Je maisha yetu kama watanzania yakoje?

Ninapata sana mashaka na tunakokwenda
 
Ndio maana naulizia wanatumia vigezo gani? Kama takwimu zinachukuliwa uwanja wa ndege zinaweza kuwa tofauti na zile za mabasi kule kwa Magufuli
Labda niingilie kukuuliza Unafanya namna kitu kinaitwa GDP na vile inapatikana?
 
Asante kwa data ndugu kafulila
 
Hongereni IMF. Sijui mnatumia vigezo gani, hivyo sina haja ya kupinga.

Kwako Kafulila...nchi haiendeshwi kwa takwimu peke yake. Je maisha yetu kama watanzania yakoje?

Ninapata sana mashaka na tunakokwenda
Hujioni wewe unavyoishi kwa raha? Saa hizi una smart phone, una pesa za kupata data na kazi huna.
 
Hongereni IMF. Sijui mnatumia vigezo gani, hivyo sina haja ya kupinga.

Kwako Kafulila...nchi haiendeshwi kwa takwimu peke yake. Je maisha yetu kama watanzania yakoje?

Ninapata sana mashaka na tunakokwenda
Sawa
 
Hakuna kama Samia naamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…