Kafulila: Tangu Rais Samia aingie madarakani Uchumi wa Tanzania umekuwa kwa kasi, ni zaidi ya Jumla ya ukuaji wa Uchumi wa nchi za Kenya na Uganda

Lissu njoo ujibu hii Kafulila
 
Jishughulishe kwenye fursa zilizopo kwenye sekta za kilimo, biashara, uvuvi, utalii, madini nk.

Kushinda JF kuikosoa Serikali hakuwezi kukuletea fedha mfukoni. Utaishia kulalamika tu na kuwashangilia akina Tundu Lissu na Mdude wakifurusha matusi
Hapa umemaliza kila kitu mkuu
 
Ukweli ni kwamba uchumi wa Tanzania uko vizuri
 
Kafulila yuko sahihi. Pia katika huo ukuaji tayari Lissu na Mbowe wamelipwa hela zao. Na chama chao kinajilia tu ruzuku
 
Huyu chawa anataka kutuaminisha nini?
Uchumi unakuaje hakuna umeme?
Uchumi unakuaje kila siku mnaona baadhi ya wilaya hakuna mafuta kabisa?
Ndio maana kaachwa kwenye mabulb.
 
Huyu chawa anataka kutuaminisha nini?
Uchumi unakuaje hakuna umeme?
Uchumi unakuaje kila siku mnaona baadhi ya wilaya hakuna mafuta kabisa?
Ndio maana kaachwa kwenye mabulb.
Umeambiwa namba hazidanganyi unahoji nini sasa?
 
Ukipinga hizi TAKWIMU bora basi utuwekee zako.....
 
Kwa mapato ni ndio sana sana kwa utalii wa tz wanaendelea kuja wengi wazungu, kabisa saivi hakuna kushuka kwa utalii tanzania ila kinachonisumbua ni hiki je hali za wa tz wa hali ya chini zipoje??
 
Kwa mapato ni ndio sana sana kwa utalii wa tz wanaendelea kuja wengi wazungu, kabisa saivi hakuna kushuka kwa utalii tanzania ila kinachonisumbua ni hiki je hali za wa tz wa hali ya chini zipoje??
πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ
 
Kafulila anajua sana huyu muha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…