Kafulila: Tangu Rais Samia aingie madarakani Uchumi wa Tanzania umekuwa kwa kasi, ni zaidi ya Jumla ya ukuaji wa Uchumi wa nchi za Kenya na Uganda

Tanzania tuko vizuri sana
 
Hongera Rais SAMIA
 
Vipi maisha ya watu? Vipi vipato vya watu mmoja mmoja wana pesa mifukoni?
Kama hufanyi kazi kutwa nzima unabimbilika vijiweni na kukariri majina ya wachezaji hivyo vipato utasomewa siku ya hukumu ya Mungu siku palapanda itakapolia. Fursa ziko rundo. Kama sio kilimo basi kachimbe madini. Huwezi basi endesha boda. Huwezi basi kuwa fly catcher Zanzibar au Arusha manake tangu The Royal Tour watalii wameongezeka kutoka laki 6 mwaka 2021 hadi milioni 3. Katika hao ukidaka hata 100 ukawapeleka Beach moja Zanzibar si utapata fedha?. Fanyeni kazi
 
Good Samia, Good Kafulika
 
Kafulila pongezi anastahili kwakweli
 
We love you Samia
 
Safi sana hii Mama Samia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…