Kafulila: Tanzania ina miradi ya Ubia yenye thamani ya Jumla ya Tsh. Trilioni 2.6

Tanzania inapiga hatua sana za kimaendeleo anayebeza analake jambo na huo ndio ukweli.
Juhudi za kufifisha yanayofanyika zinakwama.
 
Mungu mbariki Rais wa JMT.
 
HIVI HUYU KAFULILA MIAKA MIWILI OFISINI AONYESHE HATA MRADI MMOJA TU AMBAO AMEUFANIKISHA WA PPP …..AACHE KUFANYA SIASA KWENYE KAZI ZA KITAAALAMU …. KILA SIKU YUKO KWENYE MEDIA NA MANENO MENGI TU PERFOMANCE 00%
 
Kafulila twende kazi
 
Kwa lugha nyepesi, Wale wote wanaompigia kelele Rais Samia kuhusu faida na hasara za DP World wajue tu si yeye aliyeanzisha mambo ya Ubia na PPP

#SAMIA MITANO TENA
Ila siasa ni hatari sana aisee
 
Imeeleweka vizuri sana PPP
 
Kafulila ni mtu mzuri tangu zamani
 
HIVI HUYU KAFULILA MIAKA MIWILI OFISINI AONYESHE HATA MRADI MMOJA TU AMBAO AMEUFANIKISHA WA PPP …..AACHE KUFANYA SIASA KWENYE KAZI ZA KITAAALAMU …. KILA SIKU YUKO KWENYE MEDIA NA MANENO MENGI TU PERFOMANCE 00%
Kafulila kwani hata mwaka amemaliza kweli tangu ateuliwe?
 
Kwa maelezo anayoyatoa Kafulika huenda Mradi huu ukawa ni wenye manufaa zaidi hapo baadae
 
Nimemsikiliza Kafulila nimejifunza yafuatayo,

1. Tanzania inaweza kutumia Ubia kama nyenzo ya haraka ya kujiletea maendeleo yake,

2. Serikali iachane na miradi inahofuja pesa umma badala yake ikabidhiwe kwa Sekta binafsi Kwa njia ya UBIA

3. Serikali ijikite zaidi kwenye kutekeleza ile miradi ya ambayo si rahisi Kwa sekta binafsi kupewa,

Swali,

1. Upi msimamo wa Sheria na ownership Kwa wanaosimamia mikataba hii badala yetu

2. Kuna kuzingatia muda wa mkataba usiwe mrefu ili wakizingua tunawamwaga?

Nawasalisha
 
40.6 out of 114 ni karibu na nusu,
Tunaweza kusema Ubia ni nusu ya Fedha za Serikali katika miradi ya maendeleo, Asante Kafulila Ubia ufafanuliwe zaidi
 
Umeongea ya kweli ngoja tusubiri Majibu.
 
Ni nzuri sana hii
 
Good move guys
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…