Yes To Yes
JF-Expert Member
- May 12, 2024
- 208
- 157
Tanzania inapiga hatua sana za kimaendeleo anayebeza analake jambo na huo ndio ukweli.
Juhudi za kufifisha yanayofanyika zinakwama.

Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu mbariki Rais wa JMT.
CEO wa PPP Bw David Kafulila amesema Mpango wa Serikali ya Tanzania wa Miaka Mitano umelenga kutekeleza jumla ya miradi yenye thamani ya TZS 114 Trilioni,
TZS 40.6Trilioni zitatoka katika Sekta binafsi Kwa kutumia JV, UBia na Utaratibu Mwingine Serikali itakaoona unafaa.
Mkurugenzi huyo wa Ubia nchini Bw David Kafulila ameliambia Taifa kuwa sera, Kanuni na Sheria zilizoanzisha PPP zimekuwepo hata kabla ya Ujio wa awamu ya Sita ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.
Kafulila amefafanua kuwa Tanzania tayari inaendesha miradi kwa Ubia na Sekta binafsi yenye thamani ya US$ 1 billon sawa na karibu ya TZS 2.6 trilioni.
Mkurugenzi huyo ameendelea kwa kusema dhumuni la PPP na Ubia ni kuipa Serikali nafuu ya kutekeleza miradi mingine mingi ambayo ni muhimu zaidi lakini haiwezi kutekelezwa na Sekta binafsi Kwa mfano Mishahara ya Watumishi na mengineyo.
HIVI HUYU KAFULILA MIAKA MIWILI OFISINI AONYESHE HATA MRADI MMOJA TU AMBAO AMEUFANIKISHA WA PPP …..AACHE KUFANYA SIASA KWENYE KAZI ZA KITAAALAMU …. KILA SIKU YUKO KWENYE MEDIA NA MANENO MENGI TU PERFOMANCE 00%
CEO wa PPP Bw David Kafulila amesema Mpango wa Serikali ya Tanzania wa Miaka Mitano umelenga kutekeleza jumla ya miradi yenye thamani ya TZS 114 Trilioni,
TZS 40.6Trilioni zitatoka katika Sekta binafsi Kwa kutumia JV, UBia na Utaratibu Mwingine Serikali itakaoona unafaa.
Mkurugenzi huyo wa Ubia nchini Bw David Kafulila ameliambia Taifa kuwa sera, Kanuni na Sheria zilizoanzisha PPP zimekuwepo hata kabla ya Ujio wa awamu ya Sita ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.
Kafulila amefafanua kuwa Tanzania tayari inaendesha miradi kwa Ubia na Sekta binafsi yenye thamani ya US$ 1 billon sawa na karibu ya TZS 2.6 trilioni.
Mkurugenzi huyo ameendelea kwa kusema dhumuni la PPP na Ubia ni kuipa Serikali nafuu ya kutekeleza miradi mingine mingi ambayo ni muhimu zaidi lakini haiwezi kutekelezwa na Sekta binafsi Kwa mfano Mishahara ya Watumishi na mengineyo.
Kafulila twende kazi

Kama zipi mkuu?HATA ZILE BARBARA ZILIZOTAKIWA KUPATA UBIA WA KAMPUNI ZA NJE NAZO ZIMEKUA SENEMA ..
Ila siasa ni hatari sana aiseeKwa lugha nyepesi, Wale wote wanaompigia kelele Rais Samia kuhusu faida na hasara za DP World wajue tu si yeye aliyeanzisha mambo ya Ubia na PPP
#SAMIA MITANO TENA
Imeeleweka vizuri sana PPP
CEO wa PPP Bw David Kafulila amesema Mpango wa Serikali ya Tanzania wa Miaka Mitano umelenga kutekeleza jumla ya miradi yenye thamani ya TZS 114 Trilioni,
TZS 40.6Trilioni zitatoka katika Sekta binafsi Kwa kutumia JV, UBia na Utaratibu Mwingine Serikali itakaoona unafaa.
Mkurugenzi huyo wa Ubia nchini Bw David Kafulila ameliambia Taifa kuwa sera, Kanuni na Sheria zilizoanzisha PPP zimekuwepo hata kabla ya Ujio wa awamu ya Sita ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.
Kafulila amefafanua kuwa Tanzania tayari inaendesha miradi kwa Ubia na Sekta binafsi yenye thamani ya US$ 1 billon sawa na karibu ya TZS 2.6 trilioni.
Mkurugenzi huyo ameendelea kwa kusema dhumuni la PPP na Ubia ni kuipa Serikali nafuu ya kutekeleza miradi mingine mingi ambayo ni muhimu zaidi lakini haiwezi kutekelezwa na Sekta binafsi Kwa mfano Mishahara ya Watumishi na mengineyo.
Kafulila ni mtu mzuri tangu zamani

Kafulila kwani hata mwaka amemaliza kweli tangu ateuliwe?HIVI HUYU KAFULILA MIAKA MIWILI OFISINI AONYESHE HATA MRADI MMOJA TU AMBAO AMEUFANIKISHA WA PPP …..AACHE KUFANYA SIASA KWENYE KAZI ZA KITAAALAMU …. KILA SIKU YUKO KWENYE MEDIA NA MANENO MENGI TU PERFOMANCE 00%
Kwa maelezo anayoyatoa Kafulika huenda Mradi huu ukawa ni wenye manufaa zaidi hapo baadae
CEO wa PPP Bw David Kafulila amesema Mpango wa Serikali ya Tanzania wa Miaka Mitano umelenga kutekeleza jumla ya miradi yenye thamani ya TZS 114 Trilioni,
TZS 40.6Trilioni zitatoka katika Sekta binafsi Kwa kutumia JV, UBia na Utaratibu Mwingine Serikali itakaoona unafaa.
Mkurugenzi huyo wa Ubia nchini Bw David Kafulila ameliambia Taifa kuwa sera, Kanuni na Sheria zilizoanzisha PPP zimekuwepo hata kabla ya Ujio wa awamu ya Sita ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.
Kafulila amefafanua kuwa Tanzania tayari inaendesha miradi kwa Ubia na Sekta binafsi yenye thamani ya US$ 1 billon sawa na karibu ya TZS 2.6 trilioni.
Mkurugenzi huyo ameendelea kwa kusema dhumuni la PPP na Ubia ni kuipa Serikali nafuu ya kutekeleza miradi mingine mingi ambayo ni muhimu zaidi lakini haiwezi kutekelezwa na Sekta binafsi Kwa mfano Mishahara ya Watumishi na mengineyo.
Kafulila kwani anaelimu gani?Kafulila kwani hata mwaka amemaliza kweli tangu ateuliwe?
Tatizo ni sisi wenyewe, that's true johnthebaptistNi Watanganyika wenyewe 😂😂
Nimemsikiliza Kafulila nimejifunza yafuatayo,
CEO wa PPP Bw David Kafulila amesema Mpango wa Serikali ya Tanzania wa Miaka Mitano umelenga kutekeleza jumla ya miradi yenye thamani ya TZS 114 Trilioni,
TZS 40.6Trilioni zitatoka katika Sekta binafsi Kwa kutumia JV, UBia na Utaratibu Mwingine Serikali itakaoona unafaa.
Mkurugenzi huyo wa Ubia nchini Bw David Kafulila ameliambia Taifa kuwa sera, Kanuni na Sheria zilizoanzisha PPP zimekuwepo hata kabla ya Ujio wa awamu ya Sita ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.
Kafulila amefafanua kuwa Tanzania tayari inaendesha miradi kwa Ubia na Sekta binafsi yenye thamani ya US$ 1 billon sawa na karibu ya TZS 2.6 trilioni.
Mkurugenzi huyo ameendelea kwa kusema dhumuni la PPP na Ubia ni kuipa Serikali nafuu ya kutekeleza miradi mingine mingi ambayo ni muhimu zaidi lakini haiwezi kutekelezwa na Sekta binafsi Kwa mfano Mishahara ya Watumishi na mengineyo.
40.6 out of 114 ni karibu na nusu,

Umeongea ya kweli ngoja tusubiri Majibu.Nimemsikiliza Kafulila nimejifunza yafuatayo,
1. Tanzania inaweza kutumia Ubia kama nyenzo ya haraka ya kujiletea maendeleo yake,
2. Serikali iachane na miradi inahofuja pesa umma badala yake ikabidhiwe kwa Sekta binafsi Kwa njia ya UBIA
3. Serikali ijikite zaidi kwenye kutekeleza ile miradi ya ambayo si rahisi Kwa sekta binafsi kupewa,
Swali,
1. Upi msimamo wa Sheria na ownership Kwa wanaosimamia mikataba hii badala yetu
2. Kuna kuzingatia muda wa mkataba usiwe mrefu ili wakizingua tunawamwaga?
Nawasalisha
Ni nzuri sana hii
CEO wa PPP Bw David Kafulila amesema Mpango wa Serikali ya Tanzania wa Miaka Mitano umelenga kutekeleza jumla ya miradi yenye thamani ya TZS 114 Trilioni,
TZS 40.6Trilioni zitatoka katika Sekta binafsi Kwa kutumia JV, UBia na Utaratibu Mwingine Serikali itakaoona unafaa.
Mkurugenzi huyo wa Ubia nchini Bw David Kafulila ameliambia Taifa kuwa sera, Kanuni na Sheria zilizoanzisha PPP zimekuwepo hata kabla ya Ujio wa awamu ya Sita ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.
Kafulila amefafanua kuwa Tanzania tayari inaendesha miradi kwa Ubia na Sekta binafsi yenye thamani ya US$ 1 billon sawa na karibu ya TZS 2.6 trilioni.
Mkurugenzi huyo ameendelea kwa kusema dhumuni la PPP na Ubia ni kuipa Serikali nafuu ya kutekeleza miradi mingine mingi ambayo ni muhimu zaidi lakini haiwezi kutekelezwa na Sekta binafsi Kwa mfano Mishahara ya Watumishi na mengineyo.
Nakupata bro,40.6 out of 114 ni karibu na nusu,
Tunaweza kusema Ubia ni nusu ya Fedha za Serikali katika miradi ya maendeleo, Asante Kafulila Ubia ufafanuliwe zaidi
NakubalianaKwa lugha nyepesi, Wale wote wanaompigia kelele Rais Samia kuhusu faida na hasara za DP World wajue tu si yeye aliyeanzisha mambo ya Ubia na PPP
#SAMIA MITANO TENA
Good move guys