Msengapavi
JF-Expert Member
- Oct 23, 2008
- 8,819
- 7,638
Anataka mama amuangalie kwa jicho la hurumaNaona anataka tuendelee kukopa ili nasi tuzifikie hizo nchi zilizotupita, na kwa spidi ya kukopa tunayoenda nayo asijali, lengo lake litafikiwa haraka, hizi teuzi zinatafutwa kwa shida sana.
Teuzi za mbeleko zinaondoa akili.Ila Kafulila huwa napenda Sana hoja zake kwa unazungumza kwa data,
#Uishi milele brother,
Haya BAVICHA njooni mlete data na ninyi ili kumpinga Kafulila,
Hivi yule bwana mkubwa alifikiria nini hadi kutamka "TUMBILI"Ulikuwa mnaendaga naye kwenye ATM tarehe 23 ya kila mwezi.
Umenikumbusha Wewe kuna siku utatemwa
Hiki ndicho alichokiandika RC Mstaafu David Kafulila kwenye akaunti yake ya tweeter baada ya mjadala mkali Bungeni na hofu ya Watanzania juu ya ukubwa wa deni la Taifa kwa Sasa
Huenda Kafulila ndio mtu makini na mwenye hoja zaidi kwa Sasa Tanzania asiye na cheo chochote Serikali baada ya kupigwa chini U-RC kule Simiyu
Ha ha haaaa..T U M B I L I (TUMBILI2)
Kwahiyo bado tunakopesheka sio!? Basi sawa tuongeze kasi sasaHiki ndicho alichokiandika RC Mstaafu David Kafulila kwenye akaunti yake ya tweeter baada ya mjadala mkali Bungeni na hofu ya Watanzania juu ya ukubwa wa deni la Taifa kwa Sasa
Huenda Kafulila ndio mtu makini na mwenye hoja zaidi kwa Sasa Tanzania asiye na cheo chochote Serikali baada ya kupigwa chini U-RC kule Simiyu
Hujaeleweka fafanua mkuu,Aache uongo nimeresearch nikakuta hivi
View attachment 2414732
Kasi bila sababu ya kukopa?Kwahiyo bado tunakopesheka sio!? Basi sawa tuongeze kasi sasa
Wewe na Kafulila Nani mjinga? Nionyeshe Tanzania kwenye hii list hapa chini 👇Kafulila unapata wapi Muda wa kuandika ujinga? Nenda kalime biashara yako kwenye siasa na teuzi imekatwa kichwa
Kafulila bado ndiye mjinga. Source ?Wewe na Kafulila Nani mjinga? Nionyeshe Tanzania kwenye hii list hapa chini 👇
Wewe ni mjinga unauliza source kwani hiyo attachment haioneshi source?Kafulila bado ndiye mjinga. Source ?
Ingekuwa na source ningekuuliza Wewe kibogoyo?Wewe ni mjinga unauliza source kwani hiyo attachment haioneshi source?
Wewe ni mjinga unauliza source kwani hiyo attachment haioneshi source?
Anatafta kiki tu wala sio kwa mapenzi yake.Ila Kafulila huwa napenda Sana hoja zake kwa unazungumza kwa data,
#Uishi milele brother,
Haya BAVICHA njooni mlete data na ninyi ili kumpinga Kafulila,