CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,621
- 5,029
CDM hoja hakuna kabisa yaani ni matusi tuKwa sasa naona amebeep Fire
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CDM hoja hakuna kabisa yaani ni matusi tuKwa sasa naona amebeep Fire
Kwani akisemwa wewe unapoteza nini?kwani akisema Wewe unapoteza nini?
Kuitwa ngedere ni tusi?Jiheshimu mnafiki weye!CDM hoja hakuna kabisa yaani ni matusi tu
Kumuita RC mstaafu siyo sahihi sema aliyekuwa RC.Hiki ndicho alichokiandika RC Mstaafu David Kafulila kwenye akaunti yake ya tweeter baada ya mjadala mkali Bungeni na hofu ya Watanzania juu ya ukubwa wa deni la Taifa kwa Sasa,
Huenda Kafulila ndio mtu makini na mwenye hoja zaidi kwa Sasa Tanzania asiye na cheo chochote Serikali baada ya kupigwa chini U-RC kule Simiyu,
View attachment 2414017
Aliyemuita tumbili ni mwanaccm mwenzenu,usijitoe ufahamuCDM hoja hakuna kabisa yaani ni matusi tu
Mbona lile dude lenu haliishi milele?Ila Kafulila huwa napenda Sana hoja zake kwa unazungumza kwa data,
#Uishi milele brother,
Haya BAVICHA njooni mlete data na ninyi ili kumpinga Kafulila,
Mjomba Wewe huna deni hapo ulipo?!Madeni mengi ni matunda ya sera mbovu za Ujamaa
Anajitahidi kuwa mwaminifu na mkweli kwa nchi yake, ni uzalendo. Siasa zetu zinajaribu kumshusha thamani yake.Ila Kafulila huwa napenda Sana hoja zake kwa unazungumza kwa data,
#Uishi milele brother,
Haya BAVICHA njooni mlete data na ninyi ili kumpinga Kafulila,
RC Mstaafu inashida gani kimantiki hebu fafanuaKumuita RC mstaafu siyo sahihi sema aliyekuwa RC.
KAFULILA to me ni zaidi ya wengi hapa Tanzania, anayo akili na hoja na ndio siasa za karne hii ya 21.Anajitahidi kuwa mwaminifu na mkweli kwa nchi yake, ni uzalendo. Siasa zetu zinajaribu kumshusha thamani yake.
Mjomba Wewe huna deni hapo ulipo?!
Tanzania tuko vizuri Sana yaaniHiki ndicho alichokiandika RC Mstaafu David Kafulila kwenye akaunti yake ya tweeter baada ya mjadala mkali Bungeni na hofu ya Watanzania juu ya ukubwa wa deni la Taifa kwa Sasa,
Huenda Kafulila ndio mtu makini na mwenye hoja zaidi kwa Sasa Tanzania asiye na cheo chochote Serikali baada ya kupigwa chini U-RC kule Simiyu,
View attachment 2414017
Hoja zake zina msingi wa takwimu hata kama wakileta chuki za kisiasa wanakuwa wakikosa mantiki katika maneno yao ya kumchafua.KAFULILA to me ni zaidi ya wengi hapa Tanzania, anayo akili na hoja na ndio siasa za karne hii ya 21.
Hakuna anayemjibu badala yake wanaanza kumtukana tu aiseHoja zake zina msingi wa takwimu hata kama wakileta chuki za kisiasa wanakuwa wakikosa mantiki katika maneno yao ya kumchafua.
Hajastaafu bali uteuzi wake ulitenguliwa, ndiyo maana analialia ili afikiriwe tena kwenye teuzi zijazo. Umri wa kustaafu hapa Tanzania kwa hiari ni miaka 55 na kwa lazima ni miaka 60, jee Kafulila amefikia umri huo?RC Mstaafu inashida gani kimantiki hebu fafanua
kwa hio wewe na kafulila ndo mnaamin hizo nchi alizotaja ndo nchi pekee kusin mwa jangwa la sahara kwanin hajatutajia GABON,BOTSWANA,SOUTH AFRICA,MOZAMBIQUE,DRC,EQUATORIAL GUINEA,SAO TOME AND PRINSIPE,NAMIBIA NA ZINGINE NYINGI au mnafikir watu wote mazwazwa kama mlivyo huko ccm na huyo kafulila wenu msaka tonge by the way tell him that he is no longer valuable in the Tanzanian inhabitants.Ila Kafulila huwa napenda Sana hoja zake kwa unazungumza kwa data,
#Uishi milele brother,
Haya BAVICHA njooni mlete data na ninyi ili kumpinga Kafulila,
RC mstaafu? Ukifutwa kazi unakuwa mstaafu?Hiki ndicho alichokiandika RC Mstaafu David Kafulila kwenye akaunti yake ya tweeter baada ya mjadala mkali Bungeni na hofu ya Watanzania juu ya ukubwa wa deni la Taifa kwa Sasa
Huenda Kafulila ndio mtu makini na mwenye hoja zaidi kwa Sasa Tanzania asiye na cheo chochote Serikali baada ya kupigwa chini U-RC kule Simiyu