Kafulila: Tanzania ni nchi yenye deni dogo ukilinganisha na nchi zote zilizoko Kusini mwa Jangwa la Sahara. Hongera Rais Samia

Kafulila: Tanzania ni nchi yenye deni dogo ukilinganisha na nchi zote zilizoko Kusini mwa Jangwa la Sahara. Hongera Rais Samia

Hiki ndicho alichokiandika RC Mstaafu David Kafulila kwenye akaunti yake ya tweeter baada ya mjadala mkali Bungeni na hofu ya Watanzania juu ya ukubwa wa deni la Taifa kwa Sasa,

Huenda Kafulila ndio mtu makini na mwenye hoja zaidi kwa Sasa Tanzania asiye na cheo chochote Serikali baada ya kupigwa chini U-RC kule Simiyu,
View attachment 2414017
Kumuita RC mstaafu siyo sahihi sema aliyekuwa RC.
 
Ila Kafulila huwa napenda Sana hoja zake kwa unazungumza kwa data,

#Uishi milele brother,

Haya BAVICHA njooni mlete data na ninyi ili kumpinga Kafulila,
Anajitahidi kuwa mwaminifu na mkweli kwa nchi yake, ni uzalendo. Siasa zetu zinajaribu kumshusha thamani yake.
 
Hiki ndicho alichokiandika RC Mstaafu David Kafulila kwenye akaunti yake ya tweeter baada ya mjadala mkali Bungeni na hofu ya Watanzania juu ya ukubwa wa deni la Taifa kwa Sasa,

Huenda Kafulila ndio mtu makini na mwenye hoja zaidi kwa Sasa Tanzania asiye na cheo chochote Serikali baada ya kupigwa chini U-RC kule Simiyu,
View attachment 2414017
Tanzania tuko vizuri Sana yaani
 
KAFULILA to me ni zaidi ya wengi hapa Tanzania, anayo akili na hoja na ndio siasa za karne hii ya 21.
Hoja zake zina msingi wa takwimu hata kama wakileta chuki za kisiasa wanakuwa wakikosa mantiki katika maneno yao ya kumchafua.
 
RC Mstaafu inashida gani kimantiki hebu fafanua
Hajastaafu bali uteuzi wake ulitenguliwa, ndiyo maana analialia ili afikiriwe tena kwenye teuzi zijazo. Umri wa kustaafu hapa Tanzania kwa hiari ni miaka 55 na kwa lazima ni miaka 60, jee Kafulila amefikia umri huo?
 
Ila Kafulila huwa napenda Sana hoja zake kwa unazungumza kwa data,

#Uishi milele brother,

Haya BAVICHA njooni mlete data na ninyi ili kumpinga Kafulila,
kwa hio wewe na kafulila ndo mnaamin hizo nchi alizotaja ndo nchi pekee kusin mwa jangwa la sahara kwanin hajatutajia GABON,BOTSWANA,SOUTH AFRICA,MOZAMBIQUE,DRC,EQUATORIAL GUINEA,SAO TOME AND PRINSIPE,NAMIBIA NA ZINGINE NYINGI au mnafikir watu wote mazwazwa kama mlivyo huko ccm na huyo kafulila wenu msaka tonge by the way tell him that he is no longer valuable in the Tanzanian inhabitants.
 
Hiki ndicho alichokiandika RC Mstaafu David Kafulila kwenye akaunti yake ya tweeter baada ya mjadala mkali Bungeni na hofu ya Watanzania juu ya ukubwa wa deni la Taifa kwa Sasa

Huenda Kafulila ndio mtu makini na mwenye hoja zaidi kwa Sasa Tanzania asiye na cheo chochote Serikali baada ya kupigwa chini U-RC kule Simiyu

RC mstaafu? Ukifutwa kazi unakuwa mstaafu?
 
Back
Top Bottom