Kafulila: Ubia sio ubinafsishaji: Usikose mjadala huu ni ndani ya dakika 45 ITV saa tatu kamili usiku, 09|06|2025

Kafulila: Ubia sio ubinafsishaji: Usikose mjadala huu ni ndani ya dakika 45 ITV saa tatu kamili usiku, 09|06|2025

Mwananchi Huru

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2021
Posts
2,535
Reaction score
2,226
KAFULILA: UBIA SIO UBINAFSISHAJI. NDANI YA DAKIKA 45 KESHO NDANI YA ITV SAATATU KAMILI USIKU

09||06||2025.


==
Ni Mjadala mkali kati ya mtangazaji machachari wa kituo cha runinga cha ITV Ms Farhia Medley atahenyeshana Kwa hoja nzito nzito na Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila katika kipindi cha DK 45 Jumatatu tarehe 09.06.2025 kuanzia saa 3 usiku.

HAKIKISHA HAUCHELEWI HATA DAKIKA MOJA.

==
 
==
Wale mnaojiita Wazalendo bila vitendo kwenye majukwaa sasa fuatilieni huu mjadala kesho kuanzia saa 3 usiku Kwa makini Ili muone kazi zilizofanywa na Mama Samia Ili mkawaeleze wanachama wenu ukweli kwamba Samia Mitano tena haipingiki.
View attachment 3352829
Una kichaa aisee.Kwa hiyo tugeuke kuwa makampeni meneja wake,machawa,maponjoro na makenge wake.Awatume watu wake wamtangazie.
 
==
Wale mnaojiita Wazalendo bila vitendo kwenye majukwaa sasa fuatilieni huu mjadala kesho kuanzia saa 3 usiku Kwa makini Ili muone kazi zilizofanywa na Mama Samia Ili mkawaeleze wanachama wenu ukweli kwamba Samia Mitano tena haipingiki.
View attachment 3352829
Kesho tuna kesi ya Lissu na bado tuna ajenda na Gwajima,.msitutoe kwenye msitari enyi watekaji na wauaji, kama mama enu amefanya makubwa basi wananchi tutayaona hakuna haja ya kututangazia na kutupotezea muda
 
==
Wale mnaojiita Wazalendo bila vitendo kwenye majukwaa sasa fuatilieni huu mjadala kesho kuanzia saa 3 usiku Kwa makini Ili muone kazi zilizofanywa na Mama Samia Ili mkawaeleze wanachama wenu ukweli kwamba Samia Mitano tena haipingiki.
View attachment 3352829

Sawa! Kachukue posho chawa, makala keshaaprove upeleke mchele kwa wanao na wazazi wako
 
Kafulila ana vituko ID zinazoanzisha nyuzi zake ni zile zile na hapa bado zile ID zake na zile anazozilipa zinakuja kuchangia.

Upumbavu mtupu, hii mbinu yake imeshajulikana na ID zinajulikana.
 
Kesho mambo yakitaifa ni mawili;
1.) Asubuhi - Mahakamani Kwa Lissu, kupigania haki na amani.
2.) Jioni - Kwa Gwajima Kawe, kuombea waliotekwa na kushtakia wale watekaji.
Hapokati ni kazi binafsi
 
Kafulila ana vituko ID zinazoanzisha nyuzi zake ni zile zile na hapa bado zile ID zake na zile anazozilipa zinakuja kuchangia.

Upumbavu mtupu, hii mbinu yake imeshajulikana na ID zinajulikana.
Including wewe
 
Back
Top Bottom