Kafulila: Ubia sio ubinafsishaji: Usikose mjadala huu ni ndani ya dakika 45 ITV saa tatu kamili usiku, 09|06|2025

Kafulila: Ubia sio ubinafsishaji: Usikose mjadala huu ni ndani ya dakika 45 ITV saa tatu kamili usiku, 09|06|2025

==
Wale mnaojiita kwenye majukwaa kuwa nyie ni Wazalendo lakini bila vitendo sasa fuatilieni huu mjadala Kwa makini Leo tarehe 02.06.2025 kuanzia saa 3 usiku ili msikie kazi zilizofanywa na Mama Samia ili mkawaeleze wanachama wenu ukweli kwamba Samia Mitano tena haiepukiki na hii safari Kwa sasa ni Hakika.
View attachment 3352829
Kafulila ni hazina tuende mbele turudi nyuma
 
Suala la utekaji wa watu nalo ,litazungumziwa.
 
==
Wale mnaojiita kwenye majukwaa kuwa nyie ni Wazalendo lakini bila vitendo sasa fuatilieni huu mjadala Kwa makini Leo tarehe 02.06.2025 kuanzia saa 3 usiku ili msikie kazi zilizofanywa na Mama Samia ili mkawaeleze wanachama wenu ukweli kwamba Samia Mitano tena haiepukiki na hii safari Kwa sasa ni Hakika.
View attachment 3352829
Saa mbona hamjiamini?
 
KAFULILA: UBIA SIO UBINAFSISHAJI. NDANI YA DAKIKA 45 KESHO NDANI YA ITV SAATATU KAMILI USIKU

09||06||2025.


==
Ni Mjadala mkali kati ya mtangazaji machachari wa kituo cha runinga cha ITV Ms Farhia Medley atahenyeshana Kwa hoja nzito nzito na Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila katika kipindi cha DK 45 Jumatatu tarehe 09.06.2025 kuanzia saa 3 usiku.

HAKIKISHA HAUCHELEWI HATA DAKIKA MOJA.

==
View attachment 3360962
Asante Kwa taarifa kama ni Kafulila nitafuatilia
 
Natamani wampambanishe Kafulila na Heche kwenye urais siku moja
 
Back
Top Bottom