Kafulila: Ubia sio ubinafsishaji: Usikose mjadala huu ni ndani ya dakika 45 ITV saa tatu kamili usiku, 09|06|2025

PPP Zina maana gani Kuna watu wamepoteza watoto hawajui walipo? Ni maumivu sana kupoteza mtoto, mke, ndugu au Baba na usijue alipo
 
==
Wale mnaojiita kwenye majukwaa kuwa nyie ni Wazalendo lakini bila vitendo sasa fuatilieni huu mjadala Kwa makini Leo tarehe 02.06.2025 kuanzia saa 3 usiku ili msikie kazi zilizofanywa na Mama Samia ili mkawaeleze wanachama wenu ukweli kwamba Samia Mitano tena haiepukiki na hii safari Kwa sasa ni Hakika.
View attachment 3352829
Tutafuatilia
 
Hakuna Nchi yenye wajinga wengi Duniani kama Tanzania. RAIS aliikuta Nchi Ina deni trilioni 62, ndani ya miaka minne tu tayari Nchi inadaiwa shs trilioni 98.6 yaani chini ya utawala wake amekopa shs trilioni 36.....!

Halafu jiulize fedha zote hizi amefanyia Nini tangible?

Halafu katika kipindi hicho ametekwa na kuwapoteza watanzania 86! Wengine baada ya kuuawa wametobolewa macho na kutupwa porini huko.....hakuna upelelezi kufanyika wala Nini.

Mitano tena?? Wala hata mmoja hastahili.
 
Tutafuatil

Sioni tatizo na kukopa labda tatizo hizo fedha tunazifanyia nini?
Kwa Samia hata kama anakopa Miradi inaonekana waza,
 
Hapana, wewe kama kweli mwanasiasa serious kalazima utamsikilizi Ili uje ukosoe
Inakera sn kusikia usifiaji badala ya kujadili hoja, sikatai kwamba maza hajafanya mambo mazuri hiyo ni big no, lakini usifiaji umepita kiasi, je wajibu wake ni nini sasa? hatuwezi kuwa na taifa la kusifiana tu kila wakati badala ya kujenga hoja ndiyo tunazalisha machawa yakifukuzia teuzi kwenda kuiba mali za umma. Sitaki mimi kujenga taifa la watu wajinga, sahivi kila msomi anawaza kuajiriwa serikalini, je mbona wasomi wa kihindi na kiarabu wao sijawahi kuwaona kwenye interview yoyote?
 
Hakuna Nchi yenye wajinga wengi Duniani kama Tanzania. RAIS aliikuta Nchi Ina deni trilioni 62, ndani ya miaka minne tu tayari Nchi inadaiwa shs trilioni 98.6 yaani chini ya utawala wake amekopa shs trilioni 36.....!

Halafu jiulize fedha zote hizi amefanyia Nini tangible?

Halafu katika kipindi hicho ametekwa na kuwapoteza watanzania 86! Wengine baada ya kuuawa wametobolewa macho na kutupwa porini huko.....hakuna upelelezi kufanyika wala Nini.

Mitano tena?? Wala hata mmoja hastahili.
Mbaya zaidi anakopa pesa zinaibiwa haswa na wateule wake wanatajirika kupita kiasi huku wananchi wakiachwa kwenye ufukara mkubwa sn
 
Inakera sn kusikia usifiaji badala ya kujadili hoja, sikatai kwamba maza hajafanya mambo mazuri hiyo ni big no, lakini usifiaji umepita kiasi, je wajibu wake ni nini sasa? hatuwezi kuwa na taifa la kusifiana tu kila wakati badala ya kujenga hoja ndiyo tunazalisha machawa yakifukuzia teuzi kwenda kuiba mali za umma. Sitaki mimi kujenga taifa la watu wajinga, sahivi kila msomi anawaza kuajiriwa serikalini, je mbona wasomi wa kihindi na kiarabu wao sijawahi kuwaona kwenye interview yoyote?
Tatizo lenu nyie kila anaymesema rais Kwa kufanya mema mnasema huyo ni chawa
 
Back
Top Bottom