Kafulila: Ubia sio ubinafsishaji: Usikose mjadala huu ni ndani ya dakika 45 ITV saa tatu kamili usiku, 09|06|2025

==
Wale mnaojiita Wazalendo bila vitendo kwenye majukwaa sasa fuatilieni huu mjadala kesho kuanzia saa 3 usiku Kwa makini Ili muone kazi zilizofanywa na Mama Samia Ili mkawaeleze wanachama wenu ukweli kwamba Samia Mitano tena haipingiki.
View attachment 3352829
Usitume humu tafadhali huo mjadala...tuma kwenu ....humu hatutaki.
 
==
Wale mnaojiita Wazalendo bila vitendo kwenye majukwaa sasa fuatilieni huu mjadala kesho kuanzia saa 3 usiku Kwa makini Ili muone kazi zilizofanywa na Mama Samia Ili mkawaeleze wanachama wenu ukweli kwamba Samia Mitano tena haipingiki.
View attachment 3352829
Maana yako ni ipi hasa.
Hata akituteka sote, akitupoteza na kutuua; bado tubaki tunapongeza kazi aliyofanya?

Hivi unayo akili timamu kweli wewe?
 
==
Wale mnaojiita Wazalendo bila vitendo kwenye majukwaa sasa fuatilieni huu mjadala kesho kuanzia saa 3 usiku Kwa makini Ili muone kazi zilizofanywa na Mama Samia Ili mkawaeleze wanachama wenu ukweli kwamba Samia Mitano tena haipingiki.
View attachment 3352829
Idi Amin Mama; arudi kwao huko atuachie nchi yetu; na atarudi kwao atake asitake
 
Back
Top Bottom