Raia wa Taifa
JF-Expert Member
- Jan 28, 2024
- 232
- 181
Anahangaika sana jamaaNapenda spirit ya huyu jamaa

Nitasikiliza vizuri sanaKAFULILA: UBIA SIO UBINAFSISHAJI. NDANI YA DAKIKA 45 KESHO NDANI YA ITV SAATATU KAMILI USIKU
09||06||2025.
==
Ni Mjadala mkali kati ya mtangazaji machachari wa kituo cha runinga cha ITV Ms Farhia Medley atahenyeshana Kwa hoja nzito nzito na Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila katika kipindi cha DK 45 Jumatatu tarehe 09.06.2025 kuanzia saa 3 usiku.
HAKIKISHA HAUCHELEWI HATA DAKIKA MOJA.
==
View attachment 3360962
SawaNapenda spirit ya huyu jamaa
SawaKAFULILA: UBIA SIO UBINAFSISHAJI. NDANI YA DAKIKA 45 KESHO NDANI YA ITV SAATATU KAMILI USIKU
09||06||2025.
==
Ni Mjadala mkali kati ya mtangazaji machachari wa kituo cha runinga cha ITV Ms Farhia Medley atahenyeshana Kwa hoja nzito nzito na Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila katika kipindi cha DK 45 Jumatatu tarehe 09.06.2025 kuanzia saa 3 usiku.
HAKIKISHA HAUCHELEWI HATA DAKIKA MOJA.
==
View attachment 3360962
Mkuu acha utani basiUmenifahamia wapi mkuu wangu?
Anajituma sana kwakweliNapenda spirit ya huyu jamaaana
Ndio aina ya maisha aliyochaguaAnahangaika sana jamaa
Hapa tutashuhudia mtanange wa hatari sana tukasikilize tuKAFULILA: UBIA SIO UBINAFSISHAJI. NDANI YA DAKIKA 45 KESHO NDANI YA ITV SAATATU KAMILI USIKU
09||06||2025.
==
Ni Mjadala mkali kati ya mtangazaji machachari wa kituo cha runinga cha ITV Ms Farhia Medley atahenyeshana Kwa hoja nzito nzito na Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila katika kipindi cha DK 45 Jumatatu tarehe 09.06.2025 kuanzia saa 3 usiku.
HAKIKISHA HAUCHELEWI HATA DAKIKA MOJA.
==
View attachment 3360962
Sawa tumekupataKAFULILA: UBIA SIO UBINAFSISHAJI. NDANI YA DAKIKA 45 KESHO NDANI YA ITV SAATATU KAMILI USIKU
09||06||2025.
==
Ni Mjadala mkali kati ya mtangazaji machachari wa kituo cha runinga cha ITV Ms Farhia Medley atahenyeshana Kwa hoja nzito nzito na Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila katika kipindi cha DK 45 Jumatatu tarehe 09.06.2025 kuanzia saa 3 usiku.
HAKIKISHA HAUCHELEWI HATA DAKIKA MOJA.
==
View attachment 3360962
Ni kweli lakini mambo yote hayo yako PolisiPPP Zina maana gani Kuna watu wamepoteza watoto hawajui walipo? Ni maumivu sana kupoteza mtoto, mke, ndugu au Baba na usijue alipo
SawaNapenda spirit ya huyu jamaa