Mwananchi Huru
JF-Expert Member
- Nov 20, 2021
- 2,535
- 2,226
Una kichaa aisee.Kwa hiyo tugeuke kuwa makampeni meneja wake,machawa,maponjoro na makenge wake.Awatume watu wake wamtangazie.==
Wale mnaojiita Wazalendo bila vitendo kwenye majukwaa sasa fuatilieni huu mjadala kesho kuanzia saa 3 usiku Kwa makini Ili muone kazi zilizofanywa na Mama Samia Ili mkawaeleze wanachama wenu ukweli kwamba Samia Mitano tena haipingiki.
View attachment 3352829
Kesho tuna kesi ya Lissu na bado tuna ajenda na Gwajima,.msitutoe kwenye msitari enyi watekaji na wauaji, kama mama enu amefanya makubwa basi wananchi tutayaona hakuna haja ya kututangazia na kutupotezea muda==
Wale mnaojiita Wazalendo bila vitendo kwenye majukwaa sasa fuatilieni huu mjadala kesho kuanzia saa 3 usiku Kwa makini Ili muone kazi zilizofanywa na Mama Samia Ili mkawaeleze wanachama wenu ukweli kwamba Samia Mitano tena haipingiki.
View attachment 3352829
Wasituletee mambo ya uchawaKesho tuna kesi ya Lissu na bado tuna ajenda na Gwajima,.msitutoe kwenye msitari enyi watekaji na wauaji, kama mama enu amefanya makubwa basi wananchi tutayaona hakuna haja ya kututangazia na kutupotezea muda
Watukome kabisa, tuna ajenda muhimu sana, kwa sasa silaha zote tunazibeba mradi tupambane na aduiWasituletee mambo ya uchawa
Na wanajisifia Sifia tuTatizo swala la kutekana tena ndio linachafua taswira ya Taifa.
Hayo maendeleo munayo yasema hayaleti maana yeyote kama tutaendelea kutekana.
==
Wale mnaojiita Wazalendo bila vitendo kwenye majukwaa sasa fuatilieni huu mjadala kesho kuanzia saa 3 usiku Kwa makini Ili muone kazi zilizofanywa na Mama Samia Ili mkawaeleze wanachama wenu ukweli kwamba Samia Mitano tena haipingiki.
View attachment 3352829
Makala ndio kiongozi wa machawaSawa! Kachukue posho chawa, makala keshaaprove upeleke mchele kwa wanao na wazazi wako
Mlipaji kwa fungu la mamaMakala ndio kiongozi wa machawa
Sana tuNo Reform no election,🏃
Including weweKafulila ana vituko ID zinazoanzisha nyuzi zake ni zile zile na hapa bado zile ID zake na zile anazozilipa zinakuja kuchangia.
Upumbavu mtupu, hii mbinu yake imeshajulikana na ID zinajulikana.
Pole sana itakuwa wewe ni mgeni humu.Including wewe