Kafulila: Uchumi wa dunia ni US$ 105trilion 97% ni deni kukopa na kujenga ndio mpango mzima Duniani

Mimi nashauri kabla ya kukopa uganyika mjadala kama huu,
Tuambiwe tunakopa kiasi gani ?
Tunakopa kwaajili ya nini?
Masharti ya huo mkopo yako?
Ushauri mzuri ila wakijinga. Unataka watu waache kazi zao waanze kujadili kukopa wakati wahusika wapi. Akili za KIBAVICHA hizi
 

Kafulila: Uchumi wa dunia ni US$ 105trilion 97% ni deni kukopa na kujenga ndio mpango mzima Duniani🤣🤣🤣​

 
Mimi ni CHADEMA ila namkubali sana Kafulila Kwa hoja ila asipewe usemaji wa IKULU atua Upinzani wetu
 
Mwaka huohuo wa 2007 uwiano wa deni kwa uchumi ulikuwa asilimia 43% karibu sawa na uwiano wa deni kwa uchumi wetu Tanzania.
👆🏿👆🏿
#Kafulila Kafulila Kafulila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…