Kagame anajisifia kufunga makanisa na misikiti: Ajiandae kukutana na mkono wa Mungu!

Haya ni mambo ya mtandaoni tu ndugu yangu na usiamini kila kitu unachokiona wala kukisikia. Kuna ajenda kubwa ya mambo haya dhidi ya Ukristo kama hujui na wafadhili wakuu ni hawa wenye ajenda ya ushoga na usagaji. Lengo lao ni kuonyesha kuwa Ukristo nao si lo lote wala cho chote kwa mambo kama haya. Watu wanalipwa mpaka $100K kuigiza huu upuuzi 🚮🚮🚮
 
Ndio ameshawajambia sasa.
Hili nalo ni la kusifia na kushabikia ndugu yangu? Wewe inakusaidiaje au unapata faida gani akiwajambia mpaka ushabikie upuuzi huu?

Waigizaji hawa wanaolipwa kwa lengo la kuuchafua Ukristo watakuwa na mwisho mbaya sana labda waje watubu! Mungu na Awasamehe maana hawajui walitendalo!
 
KWANZA JIULIZE UMETOKA WAPI
 
Hayo makanisa sasa
 
Naanza hapa kuna limoja lipo Tanganyika packers.... multitude of Unemployed Youths go to Pray for miracle Jobs [emoji1][emoji1][emoji1]
Na bado mbona happ padogo sana..yajayo yanafurahisha.

#MaendeleoHayanaChama
 
Dini ni moja ya kitu cha kipumbavu kupata kuanzishwa hapa duniani.
 
Wachungaji uchwara Kama Hawa wanaojambia wafuasi wao usoni wakisema wanawaombea Ni upumbavu na wanatakiwa hata miti wachezee.View attachment 2358227

Sent from JamiiForums mobile app
Huwezi kutumia mfano wa wachungaji waovu ili kuhalalisha kukataa huduma za wachungaji wote hata wale ambao ni wa kweliu. kinachotakiwa ni kuwachukulia hatua muafaka wale ambao ni fake na kuwatia moyo wale ambao ni wa kweli!
 
Mchungaji anaponya kwa ushuzi we unasema faithful

Hiyo ni faithful au faithfooler?
Ni ujinga kutumia mfano mbaya ili kuhalalisha kukataa hata wachungaji walio wazuri. Ni sawa na mtu kukataa kuwasomesha watoto wa kike kwa sababu kuna mtoto wa kike mmoja aliishia kupata mimba na akaacha shule!!
 
Hata waanzilishi wa Ukristo (Bwana YESU) na Uislam (Mohamed) hawakuwa na digrii, iweje leo ulazimishe wafuasi wao wawe na digrii ili kuendeleza imani yao?
 
Hizo fikra zako ndio mfu.. nyiny ndio mnafanya africa isiendele
 
Huyu siyo mchungaji bali ni wakala wa shetani na lengo lake ni kuuchafua ukristo. Kwa nini uamue kuchukua mfano mbaya na kuacha maelfu ya mifano ya watumishi wa Mungu wazuri. Kwenye Biblia kuna kina Paulo waliokuwa wanafufua hata wafu na kina Petro!! Ukiamua kupotea ni wewe lakini kuna vielelezo vya watumishi wengi wazuri. Hapa Tz tulikuwa na kina MOSES KULOLA ambao kwenye huduma yao watu walishuhudia vipofu kuona, viwete kutembea na maelfu kuokoka na kuachana na dhambi!!
 
Ni ujinga kutumia mfano mbaya ili kuhalalisha kukataa hata wachungaji walio wazuri. Ni sawa na mtu kukataa kuwasomesha watoto wa kike kwa sababu kuna mtoto wa kike mmoja aliishia kupata mimba na akaacha shule!!
Achana naye huyo hajui power ya roho mtakatifu

Anashangazwa na pastor kufanya uponyaji kwa ushuzi wakati imeandikwa God works in mysterious ways
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…