kelele za bar kwako hazikupi shidaNatamani kuwe na kiongozi atakayepiga ban kama huyo Kagame. Baadhi ya makanisa yamekuwa kero. Hata huyo mungu tunayemwabudu ni mungu wa utaratibu. Hakuna haja ya maspika ya adhana, kila mtu ajue mda wake wa kwenda kuabudu.
Kagame ni Anti ChristKagame anajisifia ubabe wa kufunga makanisa elfu sita na misikiti 100!! Anaongea hayo kwa madaha wakati pumzi inayomwezesha kuishi kila dakika inatoka kwa Mungu!! Ajiandae kukutana na mkono wa Mungu hapa duniani kwanza kisha jehanamu kama hatatubu. Akitubu Mungu ni wa rehema atamsamehe!
View attachment 2358229
Akikijubu njshtueVip kuhusu bar
Tatizo uwa manasoma kichwa Cha habari tu kuwa yame fungwa ila hamfatili sbabuKagame anajisifia ubabe wa kufunga makanisa elfu sita na misikiti 100!! Anaongea hayo kwa madaha wakati pumzi inayomwezesha kuishi kila dakika inatoka kwa Mungu!! Ajiandae kukutana na mkono wa Mungu hapa duniani kwanza kisha jehanamu kama hatatubu. Akitubu Mungu ni wa rehema atamsamehe!
View attachment 2358229
Sasa mtu kama huyu eti unamkuta ni mchungaji. Ebu acha kudanganya watu. Mbona Yesu alikua straight sana. Niletee mafungu yanayosapot huu ujinga wako hapaKiroho hiyo ina maana kubwa sana ila ukiwa mtu ambaye huna imani huwezi kuelewa mechanism ya ushuzi kwenye muujiza
Napenda sana ubunifu
Kila mahali kuna kero zake nadha.n ww umenikita kwenye kelele. Bar zinafungwa daa 6 na kama kuna ulazima wa kuwepo wanapunguza sauti ila makanisa uchwara wanakesha na keleeeleunataka kusema ni kero kuliko bar ?
Swali nililojiuliza anakula nini au anapataje ushuzi wa kuwajambia hao waumini wote,,au atakuwa ni mpunga??? na kwa bahati mbaya anaweza hata akajinyea,,,ila kusoma na kuelewa binafsi kutaepusha watu kuingia mkenge mbaya.Wachungaji uchwara Kama Hawa wanaojambia wafuasi wao usoni wakisema wanawaombea ni upumbavu na wanatakiwa hata miti wachezee.
View attachment 2358227
Sent from JamiiForums mobile app
ππππ Dah nimecheka Sana mkuu.Swali nililojiuliza anakula nini au anapataje ushuzi wa kuwajambia hao waumini wote,,au atakuwa ni mpunga?
Dar ipi hiyo masaki au ?Kila mahali kuna kero zake nadha.n ww umenikita kwenye kelele. Bar zinafungwa daa 6 na kama kuna ulazima wa kuwepo wanapunguza sauti ila makanisa uchwara wanakesha na keleeele
Mama samia naomba ufunge makanisa ambayo wachungaji wake hawajasomea shule ya uchungaji.
Pili hawajasimikwa na kupakwa mafuta matakatifu ya bwana hajafanyiwa misa takatifu yakusimikwa wao wanasema wamechaguliwa na bwana kuhubiri neno.
Hatujakataa na hatuhukumu ila ukweli ni huu .
Lazima kama umechaguliwa kuhubiri neno la Mungu uende shule ujue jinsi ya kutunza na kuishi na watoto wa Mungu na upakwe mafuta matakatifu.
Hata kwenye biblia inasema watakuja manabii wauongo na ukiambiwa Yesu yuko hapa usiende.
Kila goti litapigwa kwake Yesu atuape uhai siku ya mwisho usiku mwema
Wewe ndio chizi kabisaa huna akili nzuri ushachanganyikiwa kwa mafuta ya upako umewahi sikia wapi anglikana , lutheran , assemblies of God na katoliki wanamafuta ya upako.Umechanganyikiwa.
Nje na amri na ushuhuda,vikundi vyote vya kidini ni wakala wa Ibilisi kuwachanganya watu wasielewe wapi wanapotakiwa kwenda(Isaya 8:20,Ufunuo 14:12).Huwezi kutumia mfano wa wachungaji waovu ili kuhalalisha kukataa huduma za wachungaji wote hata wale ambao ni wa kweliu. kinachotakiwa ni kuwachukulia hatua muafaka wale ambao ni fake na kuwatia moyo wale ambao ni wa kweli!