Kagame awatuhumu SADC na Ramaphosa kuwaunga mkono Congo. Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama SADC ni Rais Samia!

Huwezi endesha siasa za mgawanyo wa watu katika sura ya kikabila na ukategemea matokeo chanya hii haiwezekani abadani.

Congo inapaswa kutumia njia ya mazungumzo katika kutatua mgogoro huu badala ya matumizi ya nguvu,maana kwa njia hii haija wahi leta suluhu kwa miongo kadhaa hapo kabla.
 
Kagame amefika mwisho wa uongozi wake na hata maisha yake ila hajui hilo na wengi pia hawajui hilo.
 
Alitaka awaunge mkono kina nani?
 
Ruto vs Samia 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DFcDeTKoFd_/?igsh=MW1pdHlrNnJ6bWk5OQ==
 
Hebu tulia kwanza halafu ongea vitu kamili Bado sijakwelewa
 
Vita na M23 itakuwa rahisi sana kwama wakiamua kutumia zana za kisasa, huwezi kwenda na mavifaru msituni, wanunue drone za kutosha wawapelekee moto ili vita iishe. kama wameshindwa, wamege tu lile eneo wawape watusi basi ili eastern congo ibaki na amani.
 
Hicho cheo awamu nyingine wampe yule kijana wa BF
 
Mgogoro wa Congo hauihusu Tanzania. wala sio jukumu ka Tanzania kuingilia migogoro ya nchi zingine.

Kabla hujakurupuka kuchonganisha ni vyema ukatafiti mgogoro huo chimbuko lake ni nini.

Wakati Kabika anapambana kumtoa Mobutu Rwanda hiyo hiyo ilimsaidia mbona hukupiga kelele wakati ule au kwa Mobuti ilikuwa haki ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…